philipanyitike (@lloraa_pe) 's Twitter Profile
philipanyitike

@lloraa_pe

DREAM CHASER| the man from the future | 👽 ARSENAL 4 EVER |

ID: 1467878064

calendar_today29-05-2013 18:07:01

1,1K Tweet

82 Followers

233 Following

shebby nakamu (@shabirnakamu) 's Twitter Profile Photo

Chanzo kimoja cha mapato? Hatari Pesa zote kuinvest sehemu moja? Hatari Kwanini? 1. Biashara zinakufa 2. Ajira hazidumu/hazitoshi 3. Soko linabadilika anytime Suala la pesa, siku zote kuwa na njia tofauti tofauti. Mwisho wa siku.. Smart rabbit has three holes. Kazi kwako.!!

Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Unaona fence kwenye picha. Simple fencing.. kwa wamaasai huwa muda mwingine wanatumia miba tu kuzuia ng'ombe kutoka.. _"boma.."_ Fence hii itatumika kuzuia ng'ombe wako wa kunenepesha wasiondoke kwenda kuchunga.. yaani wataishi ndani humo kwa siku 90. Jifunze zaidi.. 👇🏽

Unaona fence kwenye picha.

Simple fencing.. kwa wamaasai huwa muda mwingine wanatumia miba tu kuzuia ng'ombe kutoka.. _"boma.."_

Fence hii itatumika kuzuia ng'ombe wako wa kunenepesha wasiondoke kwenda kuchunga.. yaani wataishi ndani humo kwa siku 90.

 Jifunze zaidi..

👇🏽
Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Boer Goat + Kwaajili ya nyama + Kwa uzoefu wangu usiwafuge kama huna matunzo mazuri + Wazuri sana kwenye zero grazing + 10 months kg 30+ hasa kwa madume Whatsapp Channel Link kujifunza Red Meat value chain 👇🏽

Boer Goat
+ Kwaajili ya nyama 
+ Kwa uzoefu wangu usiwafuge kama huna matunzo mazuri
+ Wazuri sana kwenye zero grazing 
+ 10 months kg 30+ hasa kwa madume

Whatsapp Channel Link kujifunza Red Meat value chain
👇🏽
ULIZA DEUSOKA (@naomiuliza) 's Twitter Profile Photo

Afrika tulikua bado sana kuwa huru. Huu UKORONI wa MTU MWEUSI ni UTUMWA mbaya sana.💔 Nipege risasi sasa KIBARAKA masikini wewe.💔🥹

Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Kumbuka kuwa na eneo la kufikishia/ kuwatenga ng'ombe wapya kwa siku 14 kabla hujawachanganya. Kwa siku 14 utawatibu kila kitu na kuwalisha malisho yako ili wayazoee kabla yakuwekwa kwenye kundi zima

Kumbuka kuwa na eneo la kufikishia/ kuwatenga ng'ombe wapya kwa siku 14 kabla hujawachanganya.

Kwa siku 14 utawatibu kila kitu na kuwalisha malisho yako ili wayazoee kabla yakuwekwa kwenye kundi zima
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Tunaomba PSG na BAYERN waungane… Wachague the Best first eleven… waje tucheze nao Fainali🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Tukicheza na mmoja tutamuonea… Hii ndio ARSENAL ya ASALI na MAZIWA🫶🏾 #COYG💪🏽

#TajiriLaKihaya 

Tunaomba PSG na BAYERN waungane…

Wachague the Best first eleven… waje tucheze nao Fainali🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Tukicheza na mmoja tutamuonea…

Hii ndio ARSENAL ya ASALI na MAZIWA🫶🏾

#COYG💪🏽
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Mzigo wa kazi Lenovo x1 carbon✅ Corei5✅ Ram 8GB✅ SSD 256GB✅ Based processor 1.8GHz and Turbo reach 3.7GHz🔥 8th generation✅ Battery 3hrs✅ Refabrish grade AAA++✅ Kioo inch 14✅ Very very very SLIM✅ All important sports available❤️ Tsh.850,000/= Tu📌

Mzigo wa kazi

Lenovo x1 carbon✅

Corei5✅
Ram 8GB✅
SSD 256GB✅

Based processor 1.8GHz and Turbo reach 3.7GHz🔥

8th generation✅

Battery 3hrs✅

Refabrish grade AAA++✅

Kioo inch 14✅

Very very very SLIM✅

All important sports available❤️

Tsh.850,000/= Tu📌
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Watu wanashangaaa Mashabiki wa Arsenal tupo kila sehem kuanzia Jana… Hawajui Kwa Africa Arsenal ndio tunaongoza kuwa na Mashabiki wengi- tupo kule juu na MAN UTD… Nivile tu Baada ya kuanza kusua sua wengine waliacha ushabiki kabisaa na wengine walihamia

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

“Unaonekana/Unaambatana na Nani?” Kuna “Leverage” kubwa ambayo unaweza kupata kupitia “Credibility” ya watu wengine. Kuna Broo mmoja ni Mwanasheria, alipomaliza Law School pale Simu 2000, maisha yake yalikuwa magumu kichizi. Alifungua ofisi yake Tegeta, but kupata wateja

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Uchumi mkubwa mara nyingi unaenda sambamba na mfumo imara wa usalama na intelijensia. Kwenye vitabu vya prisoners of geography na From third world to first. Mwandishi anasema "Kama taifa lina mfumo wa usalama na intelijensia ndogo ni ishara ya kuwa na uchumi mdogo" Tzs 75,000

Uchumi mkubwa mara nyingi unaenda sambamba na mfumo imara wa usalama na intelijensia.

Kwenye vitabu vya prisoners of geography na From third world to first. 

Mwandishi anasema
"Kama taifa lina mfumo wa usalama na intelijensia ndogo ni ishara ya kuwa na uchumi mdogo"

Tzs 75,000
fredy@mitumba🇹🇿🇰🇪🇺🇬 (@fredymboya) 's Twitter Profile Photo

Nyuma ya kila biashara/kazi/huduma kuna madhabahu ya kiroho (MUNGU/miungu). Na zote zina wezesha mafanikio unachagua mwenyewe. Luka 4: 6-8 Yesu ( ibilisi akamwambia nitakupa enzi na miliki na fahari zote ziko mikoni mwangu ukinisujudia, Yesu akamjibu nitamsujudia Mungu pekee.

Nyuma ya kila biashara/kazi/huduma kuna madhabahu ya kiroho (MUNGU/miungu). Na zote zina wezesha mafanikio unachagua mwenyewe.

Luka 4: 6-8 

Yesu ( ibilisi  akamwambia nitakupa enzi na miliki na fahari zote ziko mikoni mwangu ukinisujudia, Yesu akamjibu nitamsujudia Mungu pekee.
shebby nakamu (@shabirnakamu) 's Twitter Profile Photo

Yeyote aliefanikiwa kwenye biashara alikuwa na hivi vitu 3.. 1. Uwezo wa kuuza 2. Uwezo wa kukuza mtaji 3. Uwezo wa kumanage employees wake. Huo huwa unatumika kama msingi wa chini kabisa kwa mfanya biashara yoyote. Namba 1 ya kuzingatia.

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kitu nlichojifunza Duniani… Kuna mambo mengine yanatibiwa na MUDA! kuna matatizo mengi yanaisha kwa kuyapa MUDA…. kwa mfano ; kuna umri kijana hutaki kusikia mambo ya NDOA kabisaa… na hujitazamii kama siku moja utawahi KUOA/KUOLEWA. Na unaweza fika mbali

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee

“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku nimesoma tafiti moja inasema 75% ya Family wealth uwa inaliwa na kuisha na current gen. Na 95% ya wajukuu wanakua wamemaliza kabisa. Sisi watu weusi tunachukia muendelezo, hii roho chafu ipishe kizazi changu 🙏🏼

DorothNengai (@dorothnengai) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Tuna succession plan boss?! Ukipata Hela Sasa hivi unapeleka madogo kwa kwini kusoma Tusiongelee yatakayotokea huko ( mana anakutana na mazingira tofauti kabisa na aliyoyazoea) Anarudi anakuta Mzee mkwanja upo anawaza kutumbua tu. Hajui kutafuta, hajui chochote zaidi ya kutumia