Sherry🥀 (@lisasharon09) 's Twitter Profile
Sherry🥀

@lisasharon09

Love never faileth❤️✌️

ID: 1583324133059952644

calendar_today21-10-2022 05:08:07

689 Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Nonobanks ❤️ (@lifeof_nono) 's Twitter Profile Photo

Hivi inakuwaje mtu unakula, unalala vizuri kabisa yani inshort, Unaenjoy na unajua kabisa kuna kiumbe chako sehemu umekitelekeza, humuudumi mtoto wa damu yako! Au watu wanalogwa 😂 maana ni maajabu....

Sherry🥀 (@lisasharon09) 's Twitter Profile Photo

Ila Mungu anatupenda sana, fikiria hali uliyo kua nayo wakati mwaka unaanza na hali uliyo nayo saiv mwaka unapo ishia, kama sio rehema za Mwenyezi Mungu ni nini??? #Lordiamgrateful🙏

Mazi Nathan (@rukky_nate) 's Twitter Profile Photo

Driving the same car for over 10 years is normal. Using the same phone until it breaks and packs up is normal. Taking food to work everyday is absolutely normal. Repeating the same clothes and shoes is very normal. Saying no to things you can’t afford is very normal. Be

EastZoo (@waeastzoo) 's Twitter Profile Photo

Hivi huu mtindo wa madalali kulipwa mwezi mmoja ulitokea wapi?? Inaboa sana unakuta unaenda zako kuchek room halafu bajeti yako mfukoni miezi mitatu halafu dalali nae anaingiza mwezi wake mmoja, Fazaka 😂🚮