Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile
Liberatus Mwang'ombe

@liberatus80

Center-Right. Human Rights Activist. Retweets are not endorsements. Values: Ujasiri (Courage), Uhuru (Freedom), Umoja (Unity).

ID: 82778464

linkhttp://chadema.or.tz calendar_today16-10-2009 02:40:11

30,30K Tweet

60,60K Takipçi

1,1K Takip Edilen

BOBI WINE (@hebobiwine) 's Twitter Profile Photo

We're in Marrakech, Morocco attending the Mo Ibrahim Governance Weekend, under the theme "Financing The Africa We Want". Very glad to be joining hundreds of leaders and policy makers for very important conversations on the future of Africa. Very grateful to Dr. Mo Ibrahim for

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Kwenye vikao vyao wanasema, mimi ni binti mdogo sana, sikustahiki kusema maneno mazito vile juu ya UTEKAJI kwa Rais wa nchi hivyo niwe makini, wananifuatilia. Na mimi nakiri, ni kweli kwamba mimi bado ni binti mdogo, na maneno yale sikuyasema mimi bali Mungu alitumia kinywa

Jeffrey Smith (@smith_jeffreyt) 's Twitter Profile Photo

The sickening assaults on activists in #Tanzania are as shocking as they are unsurprising. The authoritarian contagion spreads with impunity across the region, but it's being met by solidarity among powerful human rights defenders. In my experience: never bet against the latter.

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ni wengi kuliko watu wanao hudhuria mkutano wa hadhara wa CHAUMA. Watanzania tunajulikana kwa uoga, lakini hili la roho mbaya ni geni. Mwanza mna roho mbaya sana. 😅

Wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ni wengi kuliko watu wanao hudhuria mkutano wa hadhara wa  CHAUMA. 

Watanzania tunajulikana kwa uoga, lakini hili la roho mbaya ni geni. 

Mwanza mna roho mbaya sana. 😅
Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mchungaji Matatani Tanzania: Kanisa la Glory of Christ laondolewa kwenye sajili Hii ni baada ya kiongozi wake kukemea utekaji nyara Josephat Gwajima alilalamikia mateso ya Mwangi na Atuhaire Tanzania yasema Gwajima anachochea wananchi wa Tanzania Gwajima pia ni Mbunge wa

Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Last Man Standing: Crackdown on dissent intensifies in Tanzania Suluhu government deregisters MP Gwajima’s church Gwajima targeted for speaking out on abductions Govt orders immediate suspension of church activities #CitizenExplainer Yvonne Okwara

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu knew 2025 is make or break! His fake treason trial has triggered an avalanche of events that has tore off the mask of Samia Suluhu to the world; - Abduction of critics, activists and opposition members now evidently done by state operated forces with direct orders

Tundu Lissu knew 2025 is make or break!
His fake treason trial has triggered an avalanche of events that has tore off the mask of <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> to the world;

- Abduction of critics, activists and opposition members now evidently done by state operated forces with direct orders
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

The level of impunity, nepotism and human rights violations under President Samia Suluhu's administration is alarming. Reports indicate that numerous individuals have been abducted, sodomized & tortured by authorities, with no officers held accountable.

Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Ni masikitiko na aibu kuona kuwa Chama cha Siasa kinachoitwa CHAUMA kimeamua kutumia jina la mtandao wa Youtube iliyokuwa likimilikiwa na CHADEMA, yaani ChademaMedia TV Awali ya yote, tunapenda kusisitiza kuwa hili ni jambo la fedheha na linaonyesha kiwango kikubwa cha ukosefu

Ni masikitiko na aibu kuona kuwa Chama cha Siasa kinachoitwa CHAUMA kimeamua kutumia jina la mtandao wa Youtube iliyokuwa likimilikiwa na CHADEMA, yaani ChademaMedia TV

Awali ya yote, tunapenda kusisitiza kuwa hili ni jambo la fedheha na linaonyesha kiwango kikubwa cha ukosefu
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

“Kamati Kuu imeamua kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Msajili wa vyama vya siasa kutengua viongozi walio thibitishwa kwenye Baraza Kuu” Makamu M’kiti John Heche

“Kamati Kuu imeamua kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Msajili wa vyama vya siasa kutengua viongozi walio thibitishwa kwenye Baraza Kuu” Makamu M’kiti <a href="/HecheJohn/">John Heche</a>
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Kwa mamlaka iliyopewa; Kamati Kuu imefanya uteuzi wa kukaimisha viongozi kwa kipindi cha mwaka mmoja. 1. John Mnyika kuwa Kaimu Katibu Mkuu 2. Amani Golugwa kuwa Kaimu Naimu Katibu Mkuu Tanganyika 2. Ally Juma kuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar #NoReformsNoElection