Luhomelo Tanzania (@lhomelotanzania) 's Twitter Profile
Luhomelo Tanzania

@lhomelotanzania

蒙古宽扎▪︎ - LUHOMELO

ID: 1197578712822304772

calendar_today21-11-2019 18:13:30

2,2K Tweet

1,1K Takipçi

133 Takip Edilen

Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

SOKANY BLENDER, MALI NI SAFI🔥 Lita 1.5 Ina 2 jugs Jug NI glass, kioo kizito jamani, mje mjionee dukani📌 Tsh 58,000 0755693113 📍 UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE INAKUFIKIA

SOKANY BLENDER, MALI NI SAFI🔥
Lita 1.5

Ina 2 jugs

Jug NI glass, kioo  kizito jamani, mje mjionee dukani📌

Tsh 58,000

0755693113

📍 UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE INAKUFIKIA
LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Ahsante Bwana Yesu 🙏🏾 Kwa kuwa akili zetu zinapoishia, ndio mahali wewe Unapoanzia! Kwa maana HEKIMA za Wanadamu ni Upumbavu mbele zako! Ahsante kwa kilichotokea ktk Nchi yangu kwa maana ulisema Tushukuru kwa Kila Jambo Mkono wako ulio Hodari, haujaondoka kwetu. UMESIMAMA NASI

RaHeeM (@cowwbama) 's Twitter Profile Photo

TotalEnergies CAFCL & CAFCC 🏆 CAF Media CAF_Online Hello, Following the current unrest and ongoing killings in Tanzania and Zanzibar, as a fan and supporter of football and other sports, I would like to suggest that the tournaments be held outside these two nations. Thank you.”

Luhomelo Tanzania (@lhomelotanzania) 's Twitter Profile Photo

Kamwe - hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho. kuna siku nasisi tutaimba kama wanavoimba wao kuna siku wao watakuwa wanalia upande wetu itakuwa furaha. Dunia hii hakuna binadamu ameumbiwa mateso milele muda wetu utafika tusichoke kumuomba mungu na kuendeleza mapambano.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Utimamu wa mtu una uhusiano na hisia zake za aibu. Utu unajengwa na aibu. Utu unalindwa na uwezo wako wa kufedheheka. Usijiruhusu ukafika mahali hujisikii kabisa aibu wala hatia.

Boniface Chengula (@bohny_chengula) 's Twitter Profile Photo

Wapumzike kwa amani wote waliotangulia mbele za haki katika kipindi hiki, Mwenyezi Mungu azipe faraja familia zote zilizoondokewa na wapendwa wao, tusiache kuwakumbuka katika sala na maombi yetu.🙏🏿

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Ulisubiri kabisa upigiwe simu ili ujue nani ni rafiki yako? Ukiambiwa wewe ndiye ‘toxic friend’ mwenyewe utasema unaonewa? Kujikweza na kupenda kutumikiwa nalo ni janga.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Ewe mwanadamu ambaye nawe hautaishi milele hapa duniani, ewe mwanadamu ambaye siku zako zinahesabika, tena uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi, unawezaje kushangilia mambo mabaya yaliyowapata wanadamu wenzako? Unawezaje kukejeli na kudhihaki katika nyakati hizi?

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

💨 Watoto wa 2000 tumekuwa tukiwaona wamepotoka, hawana adabu, hawana vision yoyote wakati huu ndio wamekuwa mstari wa mbele kupambania haki.

Luhomelo Tanzania (@lhomelotanzania) 's Twitter Profile Photo

Mpango wako ujao — usimwambie mtu. Umeoa/umeolewa — kimya. Umeanzisha biashara — kimya. Umeanza mazoezi — kimya. Umenunua nyumba — kimya. Umeenda likizo — kimya. Kumbuka: UTULIVU ni NGUVU.