Stop Maasai Eviction (@lembeu_m) 's Twitter Profile
Stop Maasai Eviction

@lembeu_m

Graduate in the field of wildlife management, from Sokoine University of Agriculture.
Strongly believe in the idea of inclusivity
Nature+culture=Conservation.

ID: 1490267123540807680

calendar_today06-02-2022 10:12:43

1,1K Tweet

777 Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Zamani mahakama kuu ilikua ikifanya uamuzi, unakua ni uamuzi very well researched na unakua uamuzi umepimwa. Sababu madhara ya uamuzi wa mahakama kuu ni makubwa, mahakama zote za chini zinalazimika kufuata. Kesi inahairishwa mara 13 mara 10 hakimu hajaandika sababu za

PropesaTV (@propesatv) 's Twitter Profile Photo

Malawians have voted out first-term President Lazarus Chakwera, a big th!ef walking around with a Bible like Ruto. WanTam kila mahali

Malawians have voted out first-term President Lazarus Chakwera, a big th!ef walking around with a Bible like Ruto. WanTam kila mahali
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES Hivi ndivyo wanachama wakimwombea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu kabla ya kuanza kwa kesi katika ukumbi wa chumba namba moja cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam ukiwa ni mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili ikisikilizwa na jopo la

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 27 Anaendelea Wakili wa Serikali Katuga Wahesimiwa Majaji mbali na kukubaliana nae lakini tunapinga pingamizi lake la hati yetu ya mashitaka kwamba ina mapungufu yasiyotibika. Kwamba defective incurable na tunaleta chini ya kifungu cha 238 cha

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 28 Anaendelea Wakili wa Serikali Katuga Anasema kama kuna mahali mshitakiwa hajaelewa hapa ataelewa. Hati ya Mashitaka inamuita kwa jina na kumwambia inasema akiwa mwenye utii... hapo ni kiini cha kwanza halafu kinasema akiwa ndani ya Tanzania

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 30 Anaendelea Katuga, Mshitakiwa anapaswa kupewa nyaraka hizo lakini sio kwamba nyaraka hizo unaweza kutumia moja dhidi ya nyingine. Maelezo ya mashahidi hayawezi kutumia hati ya mashitaka kuondoa uhalali wa hati ya mashitaka. Kutafsiri

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Kwa zaidi ya miezi kadhaa Tanzania imekuwa ikikumbwa na mijadala mizito; Katiba Mpya, haki za raia, nguvu ya polisi, pingamizi dhidi ya wagombea na mashtaka ya kisiasa. Lakini je, sheria zetu zinatoa majibu ya kweli, au ndizo zimekuwa zikitumika kuzima mijadala hii?

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 32 Anaendelea Mhe. Lissu Sasa Waheshimiwa Majaji wakili wa serikali akaenda kwenye kifungu cha 39(d) cha Penal Code yaani Kanuni ya Adhabu juu ya Uhaini na akarudi kesi za Grey Likungu Mataka. Na akasema kwa Mujibu wa Grey Likungu Mataka kwamba

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 33 Anaendelea Mh. Lissu. Watu wanafurahi kumsikiliza. Mawakili wa serikali wamesema hati ya mashitaka kuhusu publication na kifungu cha 39(2) cha Penal Code. Publication maana yake maneno yaliyochapishwa kwenye karatasi yaani writing au

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 34 Anaendelea Mhe. Kwahiyo kusema tusubiri ushahidi hakuna cha kusubiri ushahidi hapa maana hakithibitishiki na hakipo kabisa. Na nimalizie hoja hii kwa kusema hivi Mahakama ya rufani kuanzia ile ya Afrika Mashariki na muhimu zaidi hii ya

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 35 Anaendelea Mhe. Lissu Hizo nyaraka baada kusomewa kule chini vyote kwa pamoja vinaletwa huku. Sasa ukileta kimojawapo bila kingine ujue hapo hakuna kesi yani ulete information bila witness statement. Kwamba taarifa inaweza kusimama peke yake.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 36 Anaendelea Mhe. Lissu Wakili wa serikali alisema utaratibu upi unapaswa kutumika? Na Jaji Nyalali akamjibu na makubaliano yakawa utaratibu huo utumike hadi utakapokuja kubadilishwa. Sasa hadi leo hakuna kilichobadilishwa, hizi kesi zote mbili

GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Wasenge, MAFISADI na Wala Rushwa wakisimama kwenye Vijukwaa na MEDIA wanaongelea Amani Bila Kutamka neno "HAKI" Wasenge Wanajaza Vijana HOFU ili Waingie Woga wasidai Haki yao iliyoporwa.. Wanataka Utulivu wa Kijinga ili Waendelee Kuitafuna TANZANIA.. Wakitoa Vichwa Rukeni Nao.

Wasenge, MAFISADI na Wala Rushwa wakisimama kwenye Vijukwaa na MEDIA wanaongelea Amani Bila Kutamka neno "HAKI"

Wasenge Wanajaza Vijana HOFU ili Waingie Woga wasidai Haki yao iliyoporwa..

Wanataka Utulivu wa Kijinga ili Waendelee Kuitafuna TANZANIA..

Wakitoa Vichwa Rukeni Nao.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limeamua kuandaa maandamano ya amani nchi nzima, kama ishara ya kulaani na kukemea kitendo alichofanyiwa wakili Deogratius Mahinyila na askari wa Jeshi la Polisi tarehe 15 Septemba 2025, katika viwanja vya Mahakama Kuu,

Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limeamua kuandaa maandamano ya amani nchi nzima, kama ishara ya kulaani na kukemea kitendo alichofanyiwa wakili Deogratius Mahinyila na askari wa Jeshi la Polisi tarehe 15 Septemba 2025, katika viwanja vya Mahakama Kuu,
GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Sitopiga Kura, Sitoshiriki UCHAFUZI.. #Maandamano29October Nasimama na Dini yangu na Viongozi wangu wa KIROHO... bila Mabadiliko Sipigi KURA.. #Maandamano29October #Maandamano29October #Maandamano29October #Maandamano29October #Maandamano29October #Maandamano29October

Sitopiga Kura, Sitoshiriki UCHAFUZI..

#Maandamano29October 

Nasimama na Dini yangu na Viongozi wangu wa KIROHO...

bila Mabadiliko Sipigi KURA..

#Maandamano29October
#Maandamano29October
#Maandamano29October
#Maandamano29October
#Maandamano29October
#Maandamano29October
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TLS waungane na GEN Z maandamano yawe 29.10 kiwake vizuri. Na uzuri maandamano ya TLS kuna LOKOO, ole wako wakili uingie mitini.🫵🏾😁 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

“Hayo ni maneno yangu, niliyasema mimi. Hayo maneno sio kosa lolote kwenye Nchi yetu, achilia mbali kosa la uhaini. Mimi ni mwanasiasa ni mpinzani wa serikali hii, mpigania demokrasia, napinga mfumo wa uchaguzi mbovu kwenye Nchi hii kwa kufanya hivyo hilo sio kosa.” Tundu