Biblia umetafsiriwa mpaka kwa lugha ya kabila lako, lakini ukisema watoto wafundishwe Fizikia, Kemia, Uraia, Historia, Hisabati, n.k, kwa lugha ya Kiswahili unaambiwa โlugha zenu hazijitoshelezi.โ๐
Tumelogwa tukalogeka!
Sex ni tendo ambalo mwanadamu mpaka leo anajaribu kujiuliza lengo lake ni nini.
Kwa watu wanaoamini Occult wanaamini kuwa Sex ni gate of eden.
Wanaamini kuwa Sex ni muunganiko wa mwanadamu yaani mwanamke na mwanaume.
Pia wanaamini Sex ni uumbaji kwani hupelekea uumbaji wa
Jibu unalopata ni moja tu!
Kuna cha ziada nyuma ya haya tuyasikiayo na kuyaona
Kuna kazi ya mtu inatumikiwa kwa ujira upofushao
Hiki ni sawa na kisa cha mfinyanzi kulia gaeni
Mali sapi chito
MT.84237 Pte. Buyobe