Kisuda (@kisuda_adam) 's Twitter Profile
Kisuda

@kisuda_adam

my name is Adam

ID: 260957489

calendar_today04-03-2011 23:36:10

5,5K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

UDADISI (@udadisi) 's Twitter Profile Photo

Discuss (20 Marks): “Following Magufuli’s death in 2021, his successor, Samia Suluhu Hassan, has sought to revive Tanzania’s reputation as a regional leader and reliable global partner. As part of this effort, President Samia commissioned an official review of foreign policy,

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Faida ya kuwa na media ambayo ni HURU ndio hii. Kwasasa Tanzania hakuna Media inaweza kuandika habari ngumu ngumu kama hizi isipokuwa “Wananchi Forum”. Haya BODABODA wazee wa “kukimbiza UPEPO” kwanza mnajua kama gharama za kusajili chombo cha moto aina ya Pikipiki zimepanda na

Faida ya kuwa na media ambayo ni HURU ndio hii.

Kwasasa Tanzania hakuna Media inaweza kuandika habari ngumu ngumu kama hizi isipokuwa “Wananchi Forum”.

Haya BODABODA wazee wa “kukimbiza UPEPO” kwanza mnajua kama gharama za kusajili chombo cha moto aina ya Pikipiki zimepanda na
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️SHAMEFUL‼️ CCM boasts to be largest party in Africa but cannot manage a crowd without coercion! Business forced to close and civil servants ordered to attend rally and take students Even power has been cut! Shameful! 🚮 Nyie Chama Cha Mapinduzi mnajinadi kama Chama kikubwa cha

‼️SHAMEFUL‼️ 
CCM boasts to be largest party in Africa but cannot manage a crowd without coercion! Business forced to close and civil servants ordered to attend rally and take students
Even power has been cut! Shameful! 🚮

Nyie <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> mnajinadi kama Chama kikubwa cha
Kennedy Wandera (@kennedywandera_) 's Twitter Profile Photo

The official campaign period has started for Tanzania’s 🇹🇿October elections. Incumbent President Samia Suluhu Hassan has been cleared but will face only candidates from smaller parties. The electoral commission has blocked and disqualified the presidential candidates from the

The official campaign period has started for Tanzania’s 🇹🇿October elections. Incumbent President Samia Suluhu Hassan has been cleared but will face only candidates from smaller parties.

The electoral commission has blocked and disqualified the presidential candidates from the
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Hii ni rushwa. Na ni kosa kisheria kwa mwanasiasa kutoa pesa lakini bila woga hadharani wanagawa pesa! Ila tusitegemee watachukuliwa hatua! Maana hawa CCM laws don’t apply! #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️SAMIA SULUHU’S CV GETS PULLED AFTER UNFAVORABLE COMMENTS‼️ Her CV was posted by one of the major media houses and it received a lot of negative commemts many comparing her CV and experience with that of Tundu Antiphas Lissu who has been jailed by Samia Suluhu on trumped up charges

‼️SAMIA SULUHU’S CV GETS PULLED AFTER UNFAVORABLE COMMENTS‼️
Her CV was posted by one of the major media houses  and it received a lot of negative commemts many comparing her CV and experience with that of <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> who has been jailed by <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> on trumped up charges
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

NIANDIKIE MSTARI MMOJA TU ULIOUPENDA, KUTOKA KWENYE NGOMA YA #ABDUL TUANDIKE KWENYE HILO BANGO HAPO TUWAFIKISHIE UJUMBE HUKO HUKO KWENYE HIZO KAMPENI ZAO!!

NIANDIKIE MSTARI MMOJA TU ULIOUPENDA, KUTOKA KWENYE NGOMA YA #ABDUL

TUANDIKE   KWENYE HILO BANGO HAPO TUWAFIKISHIE UJUMBE HUKO HUKO KWENYE HIZO KAMPENI ZAO!!
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Kitu nimegundua tangu polepole ametubu na kuomba msamaha Watanzania ameanza Kunenepa na kuwa Kijana zaidi. Kumbe cheo,madaraka na fedha si kitu kuliko upendo wa Wananchi.

Kitu nimegundua tangu polepole ametubu na kuomba msamaha Watanzania ameanza Kunenepa na kuwa Kijana zaidi.

Kumbe cheo,madaraka na fedha si kitu kuliko upendo wa Wananchi.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mgombea wetu wa Uenyekiti? Hawa watu hawakujiandaa hata kufanya kampeni. Fikiria hapo wanagombea na watu hawajulikani majina yao, vipi mashine Tundu Antiphas Mughwai Lissu angelikuwepo? Hawa wangelikimbia hizo kampeni. Ndiyo maana waliamua kumtupia mashtaka ya uongo ya uhaini..

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️MSITOE NAMBA ZENU ZA NIDA HOVYO‼️ Oneni hawa! Sasa hawa Mamlaka ya Maji wanataka mambo ya NIDA kipindi hiki ya nini? Wasuburi kwanza tumalize uchaguzi maana hatuwaamini! Polepole ameshatusanua sana 😀 Eniwei #NoReformsNoElection na #TutaelewanaTu

‼️MSITOE NAMBA ZENU ZA NIDA HOVYO‼️
Oneni hawa! Sasa hawa Mamlaka ya Maji wanataka mambo ya NIDA kipindi hiki ya nini?
Wasuburi kwanza tumalize uchaguzi maana hatuwaamini! Polepole ameshatusanua sana 😀
Eniwei #NoReformsNoElection na #TutaelewanaTu
GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

CV imejaa Mafunzo Mbali-Mbali 🚮 Nb; Kumbe ndio Maana alisema Deni la Taifa linatajwa kwa Tsh. ndio Sababu linaonekana Kubwa, hivyo litajwe kwa Dolari.. Sio Makosa yake 🚮

CV imejaa Mafunzo Mbali-Mbali 🚮

Nb; Kumbe ndio Maana alisema Deni la Taifa linatajwa kwa Tsh. ndio Sababu  linaonekana Kubwa, hivyo litajwe kwa Dolari..

Sio Makosa yake 🚮
Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Polepole anasema Magufuli alikufa wiki mbili au moja na nusu baada ya ziara ya mwisho. Ziara ya mwisho ilikuwa stand ya Magufuli, February 18, 2021. Hii inamaanisha Magufli alikufa kabla ya March 5, 2021. So, March 17, 2021 sio siku ya kifo cha Magufluli?

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Hii ina maana utawala wa Samia ni halamu na JESHI linatakiwa kuongoza serikali ya mpito hili kuondoa haya mapinduzi yaliyofanywa na wahuni

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Watanzania kwa haya tunayayaona, tusipochukua hatua kipindi hiki.. Dunia itatushangaa. Rais Samia na serikali yake, amemkata Lissu na kumpa kesi ya uongo ya uhaini.. Lissu ambae ni mpinzani wake mkuu, ametumia vyombo vyake kuzuia chama chetu kufanya shughuli zake zote halali

Watanzania kwa haya tunayayaona, tusipochukua hatua kipindi hiki..

Dunia itatushangaa.

Rais Samia na serikali yake, amemkata Lissu na kumpa kesi ya uongo ya uhaini..

Lissu ambae ni mpinzani wake mkuu, ametumia vyombo vyake kuzuia chama chetu kufanya shughuli zake zote halali
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Next time Humphrey Polepole atueleze gesi ya Rostam inatoka wapi? 🧐 Mnachukulia poa ila kuna kashfa hapo pia Eniwei 🙌🏽😀 #TutaelewanaTu

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya hotuba Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mara Kamanda Chacha Heche akizungumza na watu wa Tawi la Nyabisare kata ya Bweri Musoma mjini.