
kissa_daniel
@kissadaniel2
Journalist @eastafricatv
ID: 1370782766506336256
13-03-2021 17:04:44
70 Tweet
852 Takipçi
642 Takip Edilen



#VIDEO Mtangazaji wa #SupaBreakfast kissa_daniel ameeleza kuwa kazi yake ya kwanza kuifanya ikamuingizia kipato ilikuwa ni kuuza mitumba aliyokuwa anaifuata Ilala Boma na kuuza chuo Tuambie wewe kazi yako ya kwanza iliyokuingizia kipato ni ipi ? #EastAfricaRadio

#VIDEO kissa_daniel amesema kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaotoa maneno machafu kwa Rais Samia Suluhu na kumuuliza Mwenyekiti wa UVCCM atoe ushauri kwa watoa lugha chafu hizo #SupaBreakfast #EastAfricaRadio

#VIDEO Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida amesema kwamba hadhani kama sasa hivi Katiba Mpya inahitajika, na kwamba Katiba hiyo haiwezi kumfanya @ChademaTz akashinda #SupaBreakfast #EastAfricaRadio

#VIDEO kissa_daniel amesema kwamba Rais wa Kenya William Ruto amejifunza kitu kutoka kwa Rais Samia Suluhu kwenye kuwapa watu uhuru wa kuzungumza na kwamba vijana wa Kenya wanaandamana na wanalindwa kitu kilekile ambacho alikifanya Rais Samia hapa nchini wakati upinzani

#SupaBreakfast: Dunia ina namna yake ya kufunza watu na maisha yanasimamia suala hilo, mpaka sasa tulipofika maisha yamekufundisha kitu gani? Kissa Daniel kissa_daniel anauliza.











Hii ni ripoti ya dakika 3 ya kissa_daniel kueleza kwa kina kuhusu muendelezo wa vita inayoendelea nchi DRC na namna ambavyo serikali inatakiwa kuchukua hatua za haraka kuumaliza mgogoro huo kuepukana na unyanyasaji mkubwa wanaopitia wananchi Mashariki mwa DRC. #VitaDRC


