EastAfricaRadio
@earadiofm
Official account for East Africa Radio
ID:386954529
08-10-2011 06:27:04
179,2K Tweets
1,2M Followers
9 Following
Follow People
#BURUDANI 'Sisi sio Record Lebel kama vile WCB na Konde Music Worldwide. Sisi tunaibua vipaji na kutoa Platform kwa watu kuonyesha vipaji vyao na kila mwaka tunagusa maisha ya watu' - Madam Rita Paulsen
#PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
'Soko limebadilika na muziki umebadilika pia tupo zama za Digital ambazo numbers zinaangaliwa zaidi. Ukipata 'Views' wengi na wanao-Download wengi ndio unapata pesa zaidi'. Madam Rita Paulsen
#PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
#BURUDANI 'Mimi ni Mjasiriamali na ilikua ndoto yangu. Nilianza kuwa Producer sikupanga kuwa Jaji au Chief Jaji. BSS ilianza na mkoa mmoja tu Dar es Salaam ambao alishinda Jumanne Iddi'. - Madam Rita
#PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
'Vijana wanapenda mafanikio ya haraka haraka. Watu wote waliofanikiwa duniani wamepitia kufeli na changamoto ni sehemu ya kufanikiwa'. - Madam Rita
#PlanetBongo #MadamRitha #BongoStarSearch #BSS
#KUNAKITU : Kila ukijaribu kutulia kichwani inakujia, #kunakitu kitatotea.. swali ni kitu gani?
Baki hapo hapo...
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #KunaKituKitatokea
MICHEZO: Bado tunabishana kijiweni wapo wanaosema huyu ni Kylian Mbappé wapo wanaosema huyu si Kylian Mbappé kwa ukali wa macho yako, huyu ni yeye au si yeye?
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #KunaKituKitatokea #Michezo
#UJENZI : Tuutishe umasikini kidogo, wataalamu wa ujenzi nyumba kama hii haiwezi kuzidi kiasi gani?
Picha: Ujenzi Market
#HainaKuchoka #Ujenzi #KunaKitu #EastAfricaTv #EastAfricaRadio
#BURUDANI Msanii The Nanay akipiga story na #TheCruise ya #EastAfricaRadio watu kufananisha muonekano wake na Mzee wa Commercial MASTA
Ni kweli unamuona AY ndani ya #TheNanay ?
#TheCruise kila siku ya J3 mpaka Alhamisi kuanzia 3:00 - 5:00 usiku.
#TheCruise @conniebeily…
#BURUDANI Mwanamuziki wa Kenya Willy Paul akifunguka kilichotokea kati yake na Toto Bad #Marioo kukosoa 'Cover' iliyotumika ku-push kazi yao mpya.
#FridayNightLive #FNL #Marioo #WillyPaulMsafi