Lucy Kimei (@kimei_lucy) 's Twitter Profile
Lucy Kimei

@kimei_lucy

Proud 🇹🇿
@lucymkubwa ~Heiress
Daughter, Mother, Sister & Partner

ID: 1293944957934473216

calendar_today13-08-2020 16:18:33

57 Tweet

90 Takipçi

164 Takip Edilen

Barack Obama (@barackobama) 's Twitter Profile Photo

Proud of my friend LeBron James for his fourth title, fourth Finals MVP, and for not only living up to the hype after seventeen seasons, but surpassing it as an extraordinary leader both on the court and in the public arena fighting for education, social justice, and our democracy.

Proud of my friend <a href="/KingJames/">LeBron James</a> for his fourth title, fourth Finals MVP, and for not only living up to the hype after seventeen seasons, but surpassing it as an extraordinary leader both on the court and in the public arena fighting for education, social justice, and our democracy.
Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Kazi inaendelea. Kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kijiji cha Kiruweni kata ya Mwika Kusini. #kazizaidikasizaidi #Vunjoyakijani #PamojaTunaweza

Kazi inaendelea. Kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kijiji cha Kiruweni kata ya Mwika Kusini.
#kazizaidikasizaidi
#Vunjoyakijani 
#PamojaTunaweza
Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Muongozo wa kampeni na vipaumbele vyangu vya iwapo nitapata ridhaa ya kuwaongoza wana Vunjo. documentcloud.adobe.com/link/review?ur…

Muongozo wa kampeni na vipaumbele vyangu vya iwapo nitapata ridhaa ya kuwaongoza wana Vunjo.
documentcloud.adobe.com/link/review?ur…
clickHabari (@clickhabari) 's Twitter Profile Photo

Dr Charles Kimei Amefanya Kazi Kama Mkurugezi Wa Crdb Tangia Mwaka 1998,Wakati Bank Hiyo Ikiwa Na Matawi 19 Tu Nchi Nzima,Alifanya Kazi Kwa Ubunifu Na Uadilifu Mkubwa Sanaa,Na Kuongeza Matawi Zaidi Ya 300,Leo Hii Benki Yako Ikoo Kiganjani Kwako,Kimei Ni Mtendaji #VunjoNaKimei

Dr Charles Kimei Amefanya Kazi Kama Mkurugezi Wa Crdb Tangia Mwaka 1998,Wakati Bank Hiyo Ikiwa Na Matawi 19 Tu Nchi Nzima,Alifanya Kazi Kwa Ubunifu Na Uadilifu Mkubwa Sanaa,Na Kuongeza Matawi Zaidi Ya 300,Leo Hii Benki Yako Ikoo Kiganjani Kwako,Kimei Ni Mtendaji 
#VunjoNaKimei
Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Kumbuka kuweka kitambulisho chako cha kura mahali salama ili tarehe 28.10.20 ukatimize jukumu lako la kumpa Dr John Magufuli mitano mingine na Dr.Charles Kimei mitano aanze kazi ya kuijenga Vunjo pamoja na Madiwani wote wa Chama Cha Mapinduzi #PamojaTunaweza

Kumbuka kuweka kitambulisho chako cha kura mahali salama ili tarehe 28.10.20 ukatimize jukumu lako la kumpa <a href="/MagufuliJP/">Dr John Magufuli</a> mitano mingine na <a href="/KimeiCharles/">Dr.Charles Kimei</a> mitano aanze kazi ya kuijenga Vunjo  pamoja na Madiwani wote wa <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a>  #PamojaTunaweza
Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Karibu Vunjo, karibu Kilimanjaro Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Wapiga kura wako wanakusubiri kwa shauku kubwa. #Mitano5Tena

Karibu Vunjo, karibu Kilimanjaro Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Wapiga kura wako wanakusubiri kwa shauku kubwa. #Mitano5Tena
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

📷 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli aliposimamishwa na wananchi wa Himo Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Oktoba 2020. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM #ChaguaCCM

📷 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli aliposimamishwa na wananchi wa Himo Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Oktoba 2020.
#KuraKwaMagufuli2020 
#T2020JPM 
#ChaguaCCM
Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Nashukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt.John Pombe Magufuli kwa kuninadi kwa wananchi wangu wa Vunjo leo. Ahadi yangu kwako, kwa wana Vunjo na Taifa zima kwa ujumla ni kuwa; SITAWAANGUSHA. #ChaguaMagufuli #ChaguaKimei #ChaguaCCM

Joel Osteen (@joelosteen) 's Twitter Profile Photo

The enemy wouldn’t have wasted so much time and energy on you if there wasn’t something amazing in front of you. Don’t complain about what didn’t work out. God is still working. He’ll make up for what was unfair. He’ll pay you back for the wrongs.