Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile
Dr.Charles Kimei

@kimeicharles

Former CRDB Bank CEO. An ardent economist.

ID: 1297497110057820160

calendar_today23-08-2020 11:33:24

136 Tweet

5,5K Followers

13 Following

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

🎥Wananchi wa Moshi vijijini wakimkaribisha Kilimanjaro Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli tarehe 21 Oktoba 2020. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM #ChaguaCCM

Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru sana makomredi wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na ndugu yangu komredi Lawrence (Lau) Masha kwa kuungana nami katika kuhakisha tunapata ushindi wa kishindo hapa Vunjo. #Kidumuchamachamapinduzi #ChaguaMagufuli #ChaguaKimei #ChaguaCCM

Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Nafarijika sana kuona jinsi wana Vunjo wenzangu wanavyoniunga mkono. Tumalize kazi Jumatano tarehe 28.10.20 kwa kupiga kura kwa Rais John Magufuli, Ubunge kwa Charles Kimei na Madiwani wote wa CCM. #BadosikuMoja #kurazotekwamagufuli✔️ #kurazotekwaKimei✔ #KurazoteCCM

Nafarijika sana kuona jinsi wana Vunjo wenzangu wanavyoniunga mkono. Tumalize kazi Jumatano tarehe 28.10.20 kwa kupiga kura kwa Rais John Magufuli, Ubunge kwa Charles Kimei na Madiwani wote wa CCM.
#BadosikuMoja
#kurazotekwamagufuli✔️ 
#kurazotekwaKimei✔
#KurazoteCCM
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

🎥Makala ya Uongozi wa Rais na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu John Pombe Joseph Magufuli 2015-2020. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM #ChaguaCCM

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Mtanzania Hakiki Kitambulisho chako cha Kupigia Kura✅ ili Ifikapo kesho Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupata haki yako ya kumchagua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dr John Magufuli, Ubunge na Udiwani wa CCM. #ChaguaCCM #KuraKwaCCM #UchaguziMkuu2020

Ndugu Mtanzania Hakiki Kitambulisho chako cha Kupigia Kura✅ ili Ifikapo kesho Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupata haki yako ya kumchagua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu <a href="/MagufuliJP/">Dr John Magufuli</a>, Ubunge na Udiwani wa CCM.
#ChaguaCCM 
#KuraKwaCCM 
#UchaguziMkuu2020
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Ewe Ndugu Mtanzania mpenda maendeleo hakiki kitambulisho cha kupiga kura kabla ya kesho tarehe 28 Oktoba 2020 ili kupata haki yako ya kuchagua Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama cha Mapinduzi. #ChaguaCCM #KuraKwaMagufuli2020 ✅ #T2020JPM

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mambo muhimu ya kuzingatia ufikapo katika kituo cha kupigia kura ili kupata Haki yako ya kuchagua Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM). #ChaguaCCM #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM 1/2

Mambo muhimu ya kuzingatia ufikapo katika kituo cha kupigia kura ili kupata Haki yako ya kuchagua Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM).

#ChaguaCCM 
#KuraKwaMagufuli2020 
#T2020JPM 
1/2
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Nukuu za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu John Pombe Joseph Magufuli alipokutana na kuzungumza na Wazee katika Ukumbi wa Dodoma Convetion Centre jijini Dodoma tarehe 27 Okotoba 2020. #KuraKwaMagufuli #ChaguaCCM #T2020JPM

Nukuu za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu John Pombe Joseph Magufuli alipokutana na kuzungumza na Wazee katika Ukumbi wa Dodoma Convetion Centre jijini Dodoma tarehe 27 Okotoba 2020.
#KuraKwaMagufuli
#ChaguaCCM 
#T2020JPM
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

🎥Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Dr John Magufuli akihutubia Wananchi kwenye Mkutano wake na Wazee uliofanyika katika Ukumbi wa Dodoma Convetion Centre Jijini Dodoma leo tarehe 27 Oktoba 2020. #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Asanteni WaZanzibar kwa kuchagua Chama cha Mapinduzi #CCM na kumchagua Ndugu Dr Hussein Ali Mwinyi kuwa Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. ✅ #YajayoNiNeemaTu #Mwinyi2020 #Zanzibar

Asanteni WaZanzibar kwa kuchagua Chama cha Mapinduzi #CCM na kumchagua Ndugu <a href="/DrHmwinyi/">Dr Hussein Ali Mwinyi</a> kuwa Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. ✅
#YajayoNiNeemaTu 
#Mwinyi2020 
#Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt Dr John Magufuli Tunatoka Shukurani kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi huu wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi. #AsanteTanzania #MatokeoYaUchaguziMkuu2020 #Tanzania

Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt <a href="/MagufuliJP/">Dr John Magufuli</a> 
Tunatoka Shukurani kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi huu wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.
#AsanteTanzania
#MatokeoYaUchaguziMkuu2020 
#Tanzania
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Shukrani kwa Wapiga kura kutoka makundi mbalimbali kwa kuchagua CCM katika ngazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Urais wa Zanzibar, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa maslahi ya taifa letu🇹🇿. #UshindiWaKishindoKwaWatanzania #TusongeMbelePamoja #UchaguaMkuuTanzania2020

Shukrani kwa Wapiga kura kutoka makundi mbalimbali kwa kuchagua CCM katika ngazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Urais wa Zanzibar, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kwa maslahi ya taifa letu🇹🇿.
#UshindiWaKishindoKwaWatanzania
#TusongeMbelePamoja
#UchaguaMkuuTanzania2020
Dr.Charles Kimei (@kimeicharles) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu wana Vunjo. Naandika waraka huu kuwashukuru kwa kunipa ridhaa ya kuwa Mbunge wenu na kuwawakilisha Bungeni kwa kipindi cha mwaka 2020-2025. Hii ni imani kubwa sana kwangu na kwa chama chetu Chama Cha Mapinduzi. Naahidi kuwa sitaawangusha. instagram.com/p/CHFWHUknTVf/…

Ndugu zangu wana Vunjo. Naandika waraka huu kuwashukuru kwa kunipa ridhaa ya kuwa Mbunge wenu na kuwawakilisha Bungeni kwa kipindi cha mwaka 2020-2025. Hii ni imani kubwa sana kwangu na kwa chama chetu <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a>. Naahidi kuwa sitaawangusha.

instagram.com/p/CHFWHUknTVf/…