Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile
Kilimanjaro Premium Lager

@kili_lager

Kurasa rasmi ya Kili Lager. Kwa wenye umri 18+, Usitume kwa walio chini ya miaka 18. Kunywa kistaarabu. Vigezo vya kushirikishwa: bit.ly/3INixup

ID: 558570255

linkhttps://linktr.ee/kili_lager calendar_today20-04-2012 09:48:07

9,9K Tweet

11,11K Followers

326 Following

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Tell a friend to tell a friend Leo mambo ni 🔥ndani ya Kili hapa Moshi Golf Club Kiingilio ni Tshs 15,000/= kwa mtu mmoja kwa siku moja na V.I.P meza ya watu 10 ni Tshs 1,000,000/= kwa siku moja, namba ya kulipia ni lipa namba ya Mixx by Yas 18454883.

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Thanks for all the runners kwa kushiriki na kukimbia kwa pamoja, kama ulifanikiwa kufika kwenye finish line wewe ni mshindi💪🏾 Tukutane #KiliInternationalMarathon next year! #ItsKiliTime🍻 #KiliInternationalMarathon2025

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Umeiona new label ya Kilimanjaro Light!? Kama jibu ni YES Tutajie tofauti tatu kutoka kwenye old label na our new label ya Kilimanjaro Light? Watu wa 3 wa kwanza kucomment na kutofautisha watapata 6 pack kutoka Kili Light #ItsKiliTime🍻

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Tag your friend kwenye comment, ambae huwa unakuwa nae pamoja kila inapofika time ya kuenjoy your refreshing beer! #ItsKiliTime🍻

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

#ItsKiliTime🍻 Leo ni two options Tag yule mwana ambae ni mfanyakazi na akupe ofa ya bucket moja la Kili🍻 #HappyInternationalLabourDay2025

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Happy mother’s day! Cheers🍻 na bonge la kiburudusho! Choose emoji yoyote kushow love to all mama’s #HappyInternationalMothersday #ItsKiliTime🍻

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Muziki na Kili ni full burudani. Je unakumbuka ile Kili Hit yetu................! Sasa this Friday tunatambulisha Kili Trax🎼🎤! Stay tune! #ItsKiliTime🍻

Kilimanjaro Premium Lager (@kili_lager) 's Twitter Profile Photo

Tengeneza wimbo kwa kutumia maneno “Kuconnect” “Kucelebrate” “Kuenjoy” “Friends” “Marafiki ” “Wana” #ItsKiliTime Halafu post kwenye page yako tag na tumia hashtag #ItsKiliTime na #KiliTrax na upate zawadi hadi Tshs laki tano.