Kilale Ujenzi (@kilalemarko) 's Twitter Profile
Kilale Ujenzi

@kilalemarko

Kilale Ujenzi fahari

ID: 1678472321277853696

calendar_today10-07-2023 18:33:18

10,10K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Utest 🔥🔥🔥🔥 Kama umekwama niandikie changamoto yako Kwa comments Kama ni mgeni na unataka kuanza Unahitajika kuwa na • Smartphone • Bundle Nimeandaa muongozo wake A-Z BUREE na kuupata • Follow @psiteshio1 • Gonga LIKE na RT • Comment "UTEST" Kisha Nita reply mbioo

Utest 🔥🔥🔥🔥

Kama umekwama niandikie changamoto yako Kwa comments

Kama ni mgeni na unataka kuanza

Unahitajika kuwa na 
• Smartphone
• Bundle

Nimeandaa muongozo wake A-Z BUREE na kuupata

• Follow @psiteshio1
• Gonga LIKE na RT
• Comment "UTEST"

Kisha Nita reply mbioo
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

99 Names of Allah with meanings👇🏽🫶🏾 Ukiwa na tatizo kubwa kiasi gani ukisoma haya Majina yote 99 kwa wakati mmoja linatatuliwa! Ukweli kabisaa huu mm imeshanitokea mara kibao… Ni vizuri pia Uki ya kariri kichwani! Hakuna mwanafunzi utakua Na haya majina kichwani alafu

99 Names of Allah with meanings👇🏽🫶🏾

Ukiwa na tatizo kubwa kiasi gani ukisoma haya Majina yote 99 kwa wakati mmoja linatatuliwa!

Ukweli kabisaa huu mm imeshanitokea mara kibao…

Ni vizuri pia Uki ya kariri kichwani! Hakuna mwanafunzi utakua Na haya majina kichwani alafu
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Jobless wenzangu, hakikisha mara zote unalinda afya yako kwa kuvaa kinga... Mademu zenu huku nje wanafanywa vitu vya ajabu sana na wagonjwa ili tu wapate vocha ya kuingia online.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Manzi akianza kukwambia habari za: I love you beyond the stars To the moon & back My only sunshine & moonlight Hapo ujue ashakuona kondoo, na tegemea kupigwa tukio moja zito sana siku za usoni.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Unasikia bro, kama bado upo chini unajitafuta, usioone aibu -Kuvaa mitumba -Kushindia mihogo -Kunywa maji ya bomba -Kuweka mafuta ya taa kwa msosi -Kutembea Kimara hadi Mwenge Usione aibu msoto unaopitia, maana ukijimwambafy kisha ukafeli utachekwa zaidi na hkn atakayekuhurumia

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Rema Katoa nyimbo ya kiswahili this week Mwandishi ni Mkenya 😂 Teni/ Yemi alade waliimba nyimbo za kiswahili waandishi ni wakenya, wabongo tunakwama wapi? Kwamba Wakenya wanajua kiswahili sana kutuzidi wabongo au tuko nyuma kuandika pambio 😂🚶🏿‍♀️

Rema Katoa nyimbo ya kiswahili this week Mwandishi ni Mkenya 😂

Teni/ Yemi alade waliimba nyimbo za kiswahili waandishi ni wakenya, wabongo tunakwama wapi? 

Kwamba Wakenya wanajua kiswahili sana kutuzidi wabongo au tuko nyuma kuandika pambio 😂🚶🏿‍♀️
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kama ningekuwa na hela nyingi sana, ningelipia matangazo katika MEDIA zote..... Za kukumbusha watu kila siku, kuwa wasiache kuzisikiliza ngoma za hawa jamaa.... Natamani wazingatiwe zaidi 🚶🏾‍♂️

Kama ningekuwa na hela nyingi sana, ningelipia matangazo katika MEDIA zote.....

Za kukumbusha watu kila siku, kuwa wasiache kuzisikiliza ngoma za hawa jamaa....

Natamani wazingatiwe zaidi 🚶🏾‍♂️