Alex sounds tz (@kibabilah_tz) 's Twitter Profile
Alex sounds tz

@kibabilah_tz

CONTENT CREATOR ,MUSIC ADDICTED,SIMBA SC fan&HUMBLE GUY
⚡believe in yourself to archive's your dreams.

[email protected]

ID: 1566496811371692033

linkhttp://www.kibabilah.com calendar_today04-09-2022 18:42:27

139 Tweet

168 Followers

1,1K Following

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Sala ya Sukka hufanywa kuadhimisha siku ambayo waisrael walikombolewa na Musa kutoka utumwani Misri kwenda nchi ya ahadi Wayahudi huadhimisha siku hii kwa kusali kwenye masunagogi na kwa kujenga mahema Mwaka huu Sukkat ilianza baada ya jua kuzama siku ya Ijumaa September 29 na

Sala ya Sukka hufanywa kuadhimisha siku ambayo waisrael walikombolewa na Musa kutoka utumwani Misri kwenda nchi ya ahadi

Wayahudi huadhimisha siku hii kwa kusali kwenye masunagogi na kwa kujenga mahema

Mwaka huu Sukkat ilianza baada ya jua kuzama siku ya Ijumaa September 29 na
Malkia Nyuki 👑 (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Mambo 10 Mwanaume hupaswi kufanya 1. Kuwa na urafiki na mke wa mtu 2. Kulala na wanawake za watu 3. Kulala na watoto wa washkaji zako 4. Kumsnitch rafiki yako kwa watu 5. Kumpotezea rafiki yako kipindi anapitia wakati mgumu 6. Kumnyima mbinu za kutoboa maisha rafiki yako

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

MUDA WA LOKOO WANANGU WA 29.10–Nataka niwaone hapo kwenye COMMENT bila kukosa. Repost #OKTOBATUNATOKA #SiriNiNamba #TUPOWENGI #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

MUDA WA LOKOO WANANGU WA 29.10–Nataka niwaone hapo kwenye COMMENT bila kukosa.

Repost

#OKTOBATUNATOKA
#SiriNiNamba
#TUPOWENGI

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji kuwatambua na kuwakumbuka wote waliouliwa wakipigania Taifa letu. Hatutasahau na tunataka uwajibikaji. Rest in power, compatriots.

Tunahitaji kuwatambua na kuwakumbuka wote waliouliwa wakipigania Taifa letu. Hatutasahau na tunataka uwajibikaji. Rest in power, compatriots.
Barbara Gonzalez (@bvrbvra) 's Twitter Profile Photo

Eee Mwenyezi Mungu tulinde, tuongoze, tuepushe na mabaya ya Dunia, tubariki, tutakaze, tufariji, tusamehe. Amen 🇹🇿🙏🏽

Eee Mwenyezi Mungu tulinde, tuongoze, tuepushe na mabaya ya Dunia, tubariki, tutakaze, tufariji, tusamehe. Amen 🇹🇿🙏🏽