Masterclass (@khamiskahigwa) 's Twitter Profile
Masterclass

@khamiskahigwa

AGRICULTURIST

ID: 1174255291120177153

calendar_today18-09-2019 09:34:45

10,10K Tweet

3,3K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Agenda ya kuwinda wakosoaji wa serikali haiwezi kuondoa ukweli wowote kuhusu serikali na nchi yetu. #FreeIdrisSultan #IStandWithIdrisSultan

Agenda ya kuwinda wakosoaji wa serikali haiwezi kuondoa ukweli wowote kuhusu serikali na nchi yetu. #FreeIdrisSultan #IStandWithIdrisSultan
Ann Ebert (@ebert_ann) 's Twitter Profile Photo

She walked softly through forests, but her voice thundered across generations. Jane Goodall didn’t just study chimpanzees—she listened to them. She taught us that empathy is a scientific tool, that curiosity is a form of love, and that every creature deserves dignity. RIP to a

She walked softly through forests, but her voice thundered across generations.   Jane Goodall didn’t just study chimpanzees—she listened to them. She taught us that empathy is a scientific tool, that curiosity is a form of love, and that every creature deserves dignity.  RIP to a
UNESCO 🏛️ #Education #Sciences #Culture 🇺🇳 (@unesco) 's Twitter Profile Photo

“We need to collaborate, we need to get together, we need countries and individuals to work together to make this a better world so that we can be a little bit proud of what we leave for our children.” — Dr. Jane Goodall, UNESCO, 19 October 2024. Dr. Jane Goodall delivered these

Forbes (@forbes) 's Twitter Profile Photo

"Hope is about action." Remembering Dr. Jane Goodall, DBE: Backstage at the #ForbesSustainabilityLeaders Summit on Sept. 22, 2025, Forbes' Elisabeth Brier spoke with Dr. Jane Goodall, DBE, about how ordinary people can make a positive impact on the environment. Full interview:

BBC News Swahili (@bbcswahili) 's Twitter Profile Photo

Tanzania inasema ripoti iliyotolewa na HRW sio sahihi na ni ya kupotosha huku ikikanusha pia taarifa za kutekwa kwa raia nchini humo. bbc.in/3KwjFI0

Tanzania inasema ripoti iliyotolewa na HRW sio sahihi na ni ya kupotosha huku ikikanusha pia taarifa za kutekwa kwa raia nchini humo.
bbc.in/3KwjFI0
The Touchline | Football Coverage (@touchlinex) 's Twitter Profile Photo

🗣️❗️Jürgen Klopp: "I haven't missed anything in my life because I never thought about it. For 25 years, I went to weddings twice; one was mine, the other was 2 months ago. "In 25 years, I went to the cinema 4 times, all of them in the last 8 weeks. "As a coach, I went to a lot

🗣️❗️Jürgen Klopp: "I haven't missed anything in my life because I never thought about it. For 25 years, I went to weddings twice; one was mine, the other was 2 months ago. 

"In 25 years, I went to the cinema 4 times, all of them in the last 8 weeks.

"As a coach, I went to a lot
Senate Foreign Relations Committee (@sfrcdems) 's Twitter Profile Photo

"Jane Goodall was a trailblazer who forged a path for women in conservation. She led through kindness, optimism and perseverance and spearheaded a global movement to protect our planet and its wildlife. Jane’s legacy will live on through the many she inspired." -Sen. Jeanne Shaheen

Barack Obama (@barackobama) 's Twitter Profile Photo

The best decision I ever made was marrying you, Michelle Obama. For 33 years, I’ve admired your strength, grace, and determination — and the fact that you look so good doing it all. Happy anniversary!

The best decision I ever made was marrying you, <a href="/MichelleObama/">Michelle Obama</a>. For 33 years, I’ve admired your strength, grace, and determination — and the fact that you look so good doing it all. Happy anniversary!
GASTON SHUNDO GARUBINDI (@shundogaston) 's Twitter Profile Photo

Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuanza kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 06/10/2025 hadi tarehe 24/10/2025 na kuendelea tena kuanzia tarehe 03/11/2025 hadi tarehe 12/11/2025. Maandalizi yamekamilika rasmi, Mwenyekiti wetu yuko imara na tayari

Kesi ya Uhaini inayomkabili <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> inatarajiwa kuanza kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 06/10/2025 hadi tarehe 24/10/2025 na kuendelea tena kuanzia tarehe 03/11/2025 hadi tarehe 12/11/2025. 

Maandalizi yamekamilika rasmi, Mwenyekiti wetu yuko imara na tayari
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Ni kwa vile tu wengine tumeamua kujitoa Ufaham humu ndani… Akili zetu tunaziacha Offline tunapoingia humu… Ila Swala la LISSU kuwekwa Gerezani na Chadema kufungiwa kufanya SIASA was a very Bad move! Zamani ilizoeleka kukiwa na changamoto yoyote- chama kikuu

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Wananchi na wanachadema wote, chukueni tahadhari kubwa sana, msikubali kuchukuliwa na watu kizembe. Usikubali kuitwa na mtu usiemjua popote. Usitembee peke yako bila sababu.

GASTON SHUNDO GARUBINDI (@shundogaston) 's Twitter Profile Photo

“TUNAOMBA MTOE TAARIFA” Pamoja na wito wa John Heche kuwataka watanzania kuchukua tahadhari kufuatia ongezeko la wimbi la kutekwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA. Tunawaomba mtoe taarifa za matukio hayo kwenye Kurugenzi ya Sheria na Haki za Binadamu kupitia barua pepe

“TUNAOMBA MTOE TAARIFA”

Pamoja na wito wa <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> kuwataka watanzania kuchukua tahadhari kufuatia ongezeko la wimbi la kutekwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA. 

Tunawaomba mtoe taarifa za matukio hayo kwenye Kurugenzi ya Sheria na Haki za Binadamu kupitia barua pepe