ALKHAJ (@khaj_breezy) 's Twitter Profile
ALKHAJ

@khaj_breezy

Be good|Look good|Live good

ID: 1463003441987567622

calendar_today23-11-2021 04:37:04

457 Tweet

96 Followers

272 Following

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah amepatikana, sasa aliyemchukua nae apatikane. Hii isiishie hapa kinyonge hivi. Hii ikipotezewa tutegemee kama hizi kibaooo humu. Polisi wetu hili mnalimudu sana, ni jambo la sekunde tuu mizani zina-balance.

Alhamdulillah amepatikana, sasa aliyemchukua nae apatikane. Hii isiishie hapa kinyonge hivi. Hii ikipotezewa tutegemee kama hizi kibaooo humu. Polisi wetu hili mnalimudu sana, ni jambo la sekunde tuu mizani zina-balance.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA. ๐Ÿ’” Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela, SATIVA17 ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi. Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya Ubungo.

KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA. ๐Ÿ’”

Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela, <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi.

Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya Ubungo.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA; Ahsante wote tuliofika Julius Nyerere International Airport (JNIA) kumpokea ndugu yetu, Edgar Edson Mwakabela, SATIVA. Ni upendo mkubwa sana na tuendelee kushikamana hivi, watesi wetu waogope. Hii ndiyo taarifa sahihi na rasmi kuhusu ndugu yetu. #justiceforsativa

Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI. PDF ina inapages 13 za moto ๐Ÿ”ฅ Utaipata sasa hivi hakikisha umenifollow Niweze ingia inbox kwako ๐Ÿ“Œ Repost alafu comment "TAYARI" Nakutumia ndani ya Sekunde moja #wekezanami

UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI.

 PDF ina inapages 13 za moto ๐Ÿ”ฅ

Utaipata sasa hivi hakikisha 
umenifollow
Niweze ingia inbox kwako ๐Ÿ“Œ

Repost alafu comment  "TAYARI"

Nakutumia ndani ya Sekunde moja

#wekezanami
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MAONI YANGU KUHUSU MCHANGO WA RAIS. Familia ya SATIVA17 haijapokea fedha za Rais. Katika michango ya ๐• hatujapokea fedha za Rais. Fedha hizo kutoka kwa Rais, Sh. 35 milioni, wameingiza katika akaunti ya Aga Khan Hospital. Hatuhusiki nazo. Hadi leo, Julai 2, 2024, Aga Khan

MAONI YANGU KUHUSU MCHANGO WA RAIS.

Familia ya <a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> haijapokea fedha za Rais. Katika michango ya ๐• hatujapokea fedha za Rais. Fedha hizo kutoka kwa Rais, Sh. 35 milioni, wameingiza katika akaunti ya Aga Khan Hospital. Hatuhusiki nazo. 

Hadi leo, Julai 2, 2024, Aga Khan
abymzigua (@abyasmzigua) 's Twitter Profile Photo

โ€” Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! โ€” Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. โ€” Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni

โ€” Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!

โ€” Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.

โ€” Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...

Na huu ni
ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume kama unapenda then unatongoza tarajia kuumizwa na mapenzi mara kwa mara. Kutongoza ni jambo moja na kupenda ni jambo jingine. Tunatongoza kwa tamaa lakini kwa watu sahihi then baada ya kuwa nae ndio unaanza kutambua ni aina gani ya mwanamke ulienae? Anaingia kwenye

UNCLE TRENCH ๐Ÿ—ฝ (@nbajustin__) 's Twitter Profile Photo

BASKETBALL ๐Ÿ€ EURO LEAGUE. -A Must Play CODE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š Odds 2+ Kick-off:2030hrs Bet Code: R5NDH Hauna account Paripesa? Jiunge PARIPESA Hapaโคต๏ธ Reg: paripesa.bet/unkletrench Promo Code๐Ÿ‘‰๐Ÿพ TRENCH45 REPOST REPOST ๐Ÿ”„โฌ‡๏ธ

BASKETBALL ๐Ÿ€ EURO LEAGUE.
 -A Must Play CODE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’š

Odds 2+
Kick-off:2030hrs 
Bet Code: R5NDH

Hauna account Paripesa?
Jiunge PARIPESA Hapaโคต๏ธ
Reg: paripesa.bet/unkletrench
Promo Code๐Ÿ‘‰๐Ÿพ TRENCH45

REPOST REPOST ๐Ÿ”„โฌ‡๏ธ
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hii speed ya kutuma miamala MPESA watanifungia kaline kangu.๐Ÿ˜‚ Tutaendelea saa 9 mchana weka namba na jina kwenye hii post. Msisahau jeuri yote hii tunaipata kwasababu mwanangu Taivina James kashinda 10M leo. Na hajashinda pekeeake. Zaidi ya odds 337 mitaa imekula leo.

Hii speed ya kutuma miamala MPESA watanifungia kaline kangu.๐Ÿ˜‚

Tutaendelea saa 9 mchana weka namba na jina kwenye hii post. 

Msisahau jeuri yote hii tunaipata kwasababu mwanangu <a href="/Thereal_taivina/">Taivina James</a>  kashinda 10M leo.

Na hajashinda pekeeake. Zaidi ya odds 337 mitaa imekula leo.