BAVICHA Ilala
@bavicha_ilala
Ukurasa Rasmi wa Baraza la Vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Kichama Ilala, Dar es Salaam (BAVICHA ILALA)
ID: 1251028457359921152
http://www.chadema.or.tz 17-04-2020 06:03:48
957 Tweet
1,1K Followers
35 Following
“Wakitwambia tukapige KURA tuwaaambie ili iweje? Tukapige KURA ili watoto wetu wauwawe tena?..”-; Mhe Tundu Antiphas Lissu
“Unaweza ukamuua Soka lakini huwezi kuua fikra zake, kwasababu fikra zake ni HAKI HAKI HAKI” Maneno ya DEUSDEDITH SOKA miezi michache kabla ya kutekwa na kupotezwa mpaka sasa. Yeye pamoja na wenzake JACOB MLAY na FRANK MBISE. #ChademaMashujaaDay
"Salamu kutoka Gereza la Ukonga; Mh. Lissu yupo salama yupo tayari kwa ajili ya Kesi Kesho Mahakama Kuu, amesema tujitokeze kwa wingi kufuatilia Kesi hiyo ambayo ataendelea kujitetea Mwenyewe". David Djumbe Tuonane Mahakamani Kesho.
Mwenyekiti wetu wa BAVICHA Advocate Deogratias Mahinyila akiwaongoza Vijana kufanya Usafi Makao makuu Mikocheni. #FreeLissu #kijananaKatibaMpya
"Ngazi zote za Chama zifanye vikao kutafakari mambo ya msingi na kuanza kutekeleza matakwa ya Katiba na kuendelea na uendeshaji wa Chama." Mhe. MNYIKA John John