De Major (@kelvin_de_major) 's Twitter Profile
De Major

@kelvin_de_major

apothecary | innovator | śєʟғ ṃѧԀє | humble | insighter

ID: 2746568259

calendar_today18-08-2014 18:23:46

50,50K Tweet

15,15K Followers

2,2K Following

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

MAISHA haya ni mafupi sana!! Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨ZIJUE NJIA 8 ZA KUHAKIKISHA SIMU YAKO INADUMU KWA MUDA MREFU 📱🔋. 👇 1️⃣ Tumia Chaja ya Kiwanda (Original Charger) ⚡ Simu nyingi huharibika haraka kwa sababu ya matumizi ya chaja bandia au zisizo na ubora wa viwango vya mtengenezaji.

#UZI

💨ZIJUE NJIA 8 ZA KUHAKIKISHA SIMU YAKO INADUMU KWA MUDA MREFU 📱🔋.
👇

1️⃣ Tumia Chaja ya Kiwanda (Original Charger) ⚡
Simu nyingi huharibika haraka kwa sababu ya matumizi ya chaja bandia au zisizo na ubora wa viwango vya mtengenezaji.
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨JIFUNZE KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI STYLE BURE KUPITIA SIMU YAKO. Kutengeneza picha za mtindo wa Ghibli (anime art style) kwa kutumia ChatGPT ni rahisi sana. Shuka 🧵👇

#UZI

💨JIFUNZE KUTENGENEZA PICHA ZA   GHIBLI STYLE BURE KUPITIA SIMU YAKO.

Kutengeneza picha za mtindo wa Ghibli (anime art style) kwa kutumia ChatGPT ni rahisi sana.

Shuka 🧵👇
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨TUMIA GROK KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI STYLE BURE KUPITIA SIMU YAKO. Kwenye uzi wa jana tuliona namna ya kutengenezea picha za ghibli style kupitia ChatGPT bure. Leo tuangazie hatua kwa hatua kupitia Grok. Shuka🧵👇

#UZI

💨TUMIA GROK KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI STYLE  BURE KUPITIA SIMU YAKO.

Kwenye uzi wa jana tuliona namna ya kutengenezea picha za ghibli style kupitia ChatGPT bure.

Leo tuangazie hatua kwa hatua kupitia Grok.

Shuka🧵👇
Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Pengine wajiuliza baada ya Pope kufariki nini kitafuata. Hivi ndivyo Kanisa Katoliki huchagua Kila kitu unachohitaji kujua kuhusu mkutano wa kuchaguliwa Papa ( Papal Conclaves ) Thread ( Uzi) 🧵

Pengine wajiuliza baada ya Pope kufariki nini kitafuata. 

Hivi ndivyo Kanisa Katoliki huchagua 

Kila kitu unachohitaji kujua kuhusu mkutano wa kuchaguliwa Papa ( Papal Conclaves ) Thread ( Uzi) 🧵
DOCHA  (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

Wafanyakazi Wamelaani Sana Hii Sikukuu Ya Muungano Kuangukia Jumamosi Wakati Sisi Jobles Tunaona Safi Tu Sisi Kila Siku Ni Holiday..😀😀😀

KITAKO CHA NEY😆 (@mdudujnr) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ya vijana wa Dar 1. Bed sofa 2. Showcase za 100k 3. TV Inch 32 4. Friji 10 ltrs 5. Meza ya gesi 6. Taa ya rangi rangi Akiwa navyo hivi hashindwi kumuambia Elon Musk aweke namba aokote🤣🤣

Vatican News (@vaticannews) 's Twitter Profile Photo

I announce to you a great joy; we have a Pope: The Most Eminent and Most Reverend Lord, Lord Robert Francis Cardinal of the Holy Roman Church Prevost who has taken the name Leo XIV. Cardinal Protodeacon Dominique Mamberti announces that the Cardinals have elected Cardinal Robert

HeadBoy - SEO (@yunusi_jr) 's Twitter Profile Photo

Ila kuna watu wanatafuta kurogwa kwa nguvu tumehangaika hadi tunduma ndani ndani kutafufa Beki tatu...hata mwezi haujaisha umeamua kumuoa, kwaiyo tumekuleta mke 🤨🤨😐

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨ZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA. Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya Kulinda betri, data zako, na faragha. shuka🧵👇 Kindly repost 🔄

#UZI

💨ZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA.

Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya

Kulinda betri, data zako, na faragha.

shuka🧵👇

Kindly repost 🔄
Matiko'jr🎯 (@harrygm54) 's Twitter Profile Photo

M.D (🅨) Kwa wapenda music, Home theater, inakupa kila test i mean kila kifaa kilichopigwa unakiskia na mchujo wake asilimia 100% ni best. Ila kwa urembo na space Soundbar