Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile
Daktari Wa Manesi 💉💊

@mcinikawalamar

Social Media GURU | Thinker Tank | Freelancer | Kreative | Digital Strategist

ID: 2341919865

calendar_today13-02-2014 19:51:32

263,263K Tweet

827,827K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

MAISHA haya ni mafupi sana!! Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima