James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile
James Munisi

@njiwaflow

Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |#SimuZaNjiwa

ID: 1168914729441669120

linkhttps://wa.me/255745100757 calendar_today03-09-2019 15:53:13

114,114K Tweet

193,193K Followers

29,29K Following

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨ZIJUE NJIA 8 ZA KUHAKIKISHA SIMU YAKO INADUMU KWA MUDA MREFU 📱🔋. 👇 1️⃣ Tumia Chaja ya Kiwanda (Original Charger) ⚡ Simu nyingi huharibika haraka kwa sababu ya matumizi ya chaja bandia au zisizo na ubora wa viwango vya mtengenezaji.

#UZI

💨ZIJUE NJIA 8 ZA KUHAKIKISHA SIMU YAKO INADUMU KWA MUDA MREFU 📱🔋.
👇

1️⃣ Tumia Chaja ya Kiwanda (Original Charger) ⚡
Simu nyingi huharibika haraka kwa sababu ya matumizi ya chaja bandia au zisizo na ubora wa viwango vya mtengenezaji.