Kazingumu (@kazingumu) 's Twitter Profile
Kazingumu

@kazingumu

Entrepreneur

ID: 411669027

calendar_today13-11-2011 18:31:53

5,5K Tweet

207 Followers

182 Following

Ali Kibao (@alikibao) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Mwenyezi Mungu akulinde na akupe afya njema. Asante kwa yote unayofanya na kutupagania tusio na sauti. Sitasahau alipotekwa Mzee Kibao wewe ndo ulikuwa mtu wa kwanza kukutafuta unisaidie. You have been consistent in your fight tangu wengine hatujakuelewa mpaka tukakuelewa.

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING: AMNESTY YAFICHUA UKATILI WA KUTISHA WA VIKOSI VYA USALAMA TANZANIA Shirika la Kimataifa la Amnesty limetoa ripoti nzito ikieleza jinsi vikosi vya usalama vya Tanzania vilivyotumia ukatili na nguvu kupita kiasi vilivyosababisha vifo vya mamia ili kukandamiza maandamano

#BREAKING: AMNESTY YAFICHUA UKATILI WA KUTISHA WA VIKOSI VYA USALAMA TANZANIA
Shirika la Kimataifa la Amnesty limetoa ripoti nzito ikieleza jinsi vikosi vya usalama vya Tanzania vilivyotumia ukatili na nguvu kupita kiasi vilivyosababisha vifo vya mamia ili kukandamiza maandamano
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwl Nyerere alipata kusema: Hauwezi kutatua matatizo ya Nchi kwa kujidanganya kama hayapo. Mmeua watu, mmetesa, kubaka, kuteka na kupoteza.. Mmeiba uchaguzi na kufanya dhuluma kubwa kwa Watanzania.. Kujidanganya kwamba haya mnaweza kuyaondoa kwa vitisho, kupaaza sauti,

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Anaandika MalisaGJ Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Kabla ya uvamizi huo watu hao walionekana wakiwa na gari mbili (Landcruizer) zisizo na plate

Anaandika <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a> 

Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Kabla ya uvamizi huo watu hao walionekana wakiwa na gari mbili (Landcruizer) zisizo na plate
EDWIN SIFUNA BATALLION (@jeshi_lasifuna) 's Twitter Profile Photo

A Government Spokesman Influencing For A Private School While Thousands Of Public Schools Are In Pathetic State... Yet They Shout On How To Make Kenya Be Like Singapore... Kuna Ujinga... Alafu Kuna Ujinga Wa Kuzaliwa.

Sholla Ard 🇰🇪 (@sholard_mancity) 's Twitter Profile Photo

I’ve seen a KANU blogger asking what Senator Edwin Sifuna has done for Nairobians, trying to discredit him. My people, before agreeing with such narratives, let’s understand the constitutional role of a Senator. Senators do not build roads, schools, or markets. That is not

I’ve seen a KANU blogger asking what Senator Edwin Sifuna has done for Nairobians, trying to discredit him.

My people, before agreeing with such narratives, let’s understand the constitutional role of a Senator.

Senators do not build roads, schools, or markets. 

That is not
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini namkumbuka Nyerere baada ya kukomboa nchi yetu. Walisubiri nchi nyingine za Afrika zikemee uvamizi. Zikemee tu. Hamna. Ndiyo tulivamia na sisi. Na wasanii wamekemea mauaji? Wamekemea tu? Hamna. Na wanaofokafoka na kutuita washamba na masnitch wanaumarisha msimamo tu

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️AIBU KWA SAMIA NA GENGE LAKE LA WAHUNI WA HIFADHI NGORONGORO‼️ Askari wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wanafukuzwa na kulaaniwa na kinama jana baada ya kuvunja nyumba katika eneo la Endulen Ngorongoro. Nyumba waliibomoa na magari yao na iliangukia kina Mama na wengine ndani

PaYRoLL🪙 (@coolestdudeonx) 's Twitter Profile Photo

Enock Kiswaga In most occasions, Jonah turns out to be the captain himself. Egyptians suffered out of Pharao's arrogance. Israelites lost wars out of King Saul's disobedience. The Kingdom of Israel was divided out of King Rehoboam's arrogance. He who sits behind the wheel plays a vital role.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hata pale ambapo watawala wanataka tukate tamaa, ujasiri wako unatufundisha kusimama. Tuko pamoja, sasa na siku zote. Hatuwezi kuona kila machozi yako, lakini tunaona ujasiri wako na jitihada zako. Huu ni wakati wa kushikamana na kuendelea kupigania haki. Hatufanyi hivi kwa

Hata pale ambapo watawala  wanataka tukate tamaa, ujasiri wako unatufundisha kusimama. Tuko pamoja, sasa na siku zote. Hatuwezi kuona kila machozi yako, lakini tunaona ujasiri wako na jitihada zako. Huu ni wakati wa kushikamana na kuendelea kupigania haki. Hatufanyi hivi kwa