アボット Kazimoto  (@kazimotoinc) 's Twitter Profile
アボット Kazimoto 

@kazimotoinc

KazimotoINC | IT Technician | Husband & Dad | Baba Michelle | Perescope @Kazimotoinc | #ElimikaWikiendi |#Ajalisasabasi | #NeverMissaMoment

ID: 709811888

calendar_today22-07-2012 00:31:21

109,109K Tweet

19,19K Takipçi

498 Takip Edilen

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Suala la utekaji lipo...Na kwamba viongozi hawachukui hatua stahiki kujomesha utekaji lipo dhahiri...kwamba watekaji wanalindwa zaidi kuliko wananchi hilo halina ubishi kwani mpaka sasa mamia ya watanganyika yanazidi kupotea na,kutekwa lakini hakuna tone la mtekaji

Suala la utekaji lipo...Na kwamba viongozi hawachukui hatua stahiki kujomesha utekaji lipo dhahiri...kwamba watekaji wanalindwa zaidi kuliko wananchi hilo halina ubishi kwani mpaka sasa mamia ya watanganyika yanazidi kupotea na,kutekwa  lakini hakuna tone la mtekaji
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukichunguza mzizi wa matatizo ya Watanzania ni kukosa upendo, wengi tumetoka familia zenye visasi, chuki, vinyongo na roho mbaya. Yaani unashiriki comfortably kuumiza mtu hana hatia na unarudi kwako na raha na unalala vizuri? Aisee mimi sio mmoja wa watu wa namna hiyo.

This Is Africa (@thisisafricatia) 's Twitter Profile Photo

On Bishop Gwajima, Tanzanian MP. The Government of Tanzania has just had his church closed for chriticizing abductions. Talk of madness on steroids!

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Leo dunia nzima imeona kesi za kisiasa, tutaendelea kuwaanika kwa umma. Asante sana Mawakili wetu kwa kazi iliyotukuka. Tutashinda na tutaibadilisha Nchi hii kutoka kwenye mikono ya wakoloni weusi. #FreeTunduLissu

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

“Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.” Kutoka 14:13–14 🤲

“Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.” Kutoka 14:13–14 🤲
Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Tulikuwa na SC Mpale Mpoki tukapitia kanuni za maadili za uchaguzi tukagundua zinamapungufu makubwa sana ya kiutaratibu na kimantiki! Tumechukua hatua ya kwenda mahakamani ili tuone INEC imetunga kanuni za maadili kwa usahihi? Kumbusho Dawson Kagine na Bubelwa Kaiza ndio waleta maombi!

Tulikuwa na SC <a href="/MpaleMpoki/">Mpale Mpoki</a> tukapitia kanuni za maadili za uchaguzi tukagundua zinamapungufu makubwa sana ya kiutaratibu na kimantiki! Tumechukua hatua ya kwenda mahakamani ili tuone INEC imetunga kanuni za maadili kwa usahihi? <a href="/KumbushoDawson/">Kumbusho Dawson Kagine</a> na Bubelwa Kaiza ndio waleta maombi!
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni Rais, mtu mwema anapinga utekaji nchini.. una sababu gani ya kutuma mapolisi kumsakama kama huhusiki? Unaogopa nini? I swear, the incumbent has been exposed!

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wameanza kufika KANISANI usiku huu. Fikeni kwa wingi maana POLISI pia ni WENGI. ASKOFU HAWEZI KUTEKWA KAMA KUKU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

MWANAMAPINDUZI (@machumukadutu) 's Twitter Profile Photo

BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake. #Kutoka15:3 Kinachoendelea sasa hivi Makao Makuu ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Tanzania kwa Askofu Josephat Gwajima Bishop Josephat Gwajima PhD Mbunge wa Jimbo la Kawe. #StateVsChurch

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hatukutarajia Gwajima kuinuka na kupinga utekaji ktk kipindi hiki. Ni matakwa ya nyakati. Equally, mkimnyamazisha, Mungu atawainua wengine wengi kusema hapana! Hii ni kanuni ya kiroho kuhusu uumbaji, asili na hatma ya mtu! Solidarity with Joe Gwajima🤲

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi ishi karibu na kanisa la Gwajima. Kusema ukweli ningekuwa bado mtaa huo leo ningeshiriki shughuli ya umma hapo nje kwa wivu mkubwa sana. Cant let idiots treat us like animals.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Milio ya risasi za moto imesikika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Watu hao waliokwenda kumkamata Askofu Josephat Gwajima wamepambana kuvamia chumba chake lakini waumini wameendelea kuzuia asichukuliwe. Waumini hao wamekwenda kufunga barabara ya Morogoro.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Kwasasa hatutakiwi tena kujifanua hatumjui anayetuteka ...Mtekaji amepata ujasiri yuko tayari kufanya chochote hadharani kuzuia tusipige kelele za Utekaji. sisi tunaotekwa nankupotelewa na ndugu tuendelee kumuonea Aibu? la hasha .......KANISA LINASHAMBULIWA KWA KUSIMAMA KATIKA

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Haya ndio magazeti mawili makubwa katika Nchi yetu kwasasa!!!!! Jiulize je mhariri wao ni mmoja? Je walishare notes na wakaamua kuchagua kichwa cha habari, tena kama ukisoma vizuri ambacho kina upande tayari. Au kimeandikwa na Msigwa akawatumia wao wakabandika tu? Nchi

Haya ndio magazeti mawili makubwa katika Nchi yetu kwasasa!!!!!

Jiulize je mhariri wao ni mmoja?

Je walishare notes na wakaamua kuchagua kichwa cha habari, tena kama ukisoma vizuri ambacho kina upande tayari.

Au kimeandikwa na Msigwa akawatumia wao wakabandika tu?

Nchi
Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema [ Godbless E.J. Lema ] ametoa utabiri wake baada ya kufutwa usajili wa kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na askofu Josephat Gwajima. Aidha Lema amekosoa hatua zilizochukuliwa na mamlaka