Frank Shanel Mdimi (@kambetelajr) 's Twitter Profile
Frank Shanel Mdimi

@kambetelajr

Patriotic Tanzanian, Agriculture Expert, Anti-Trust & Consumer Protection Practitioner, Fine & Graphic Artist, Social Media Content Developer

ID: 276964892

calendar_today04-04-2011 12:48:41

4,4K Tweet

3,3K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Frank Shanel Mdimi (@kambetelajr) 's Twitter Profile Photo

Yaani kuna vitu havikosewi. Usije kushangaa baada ya Krismasi watu wamekunywa weee usiku kucha huko Rombo halafu wanang'ang'ania waendeshe kurudi mikoa ya mbali kama Dar, Mwanza, Dodoma. Kinachofuata ni misiba. Tuzingatie afya kwanza wajemeni. Hizi pombe huwa zipogo tu.

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kila siku unao uhakika wa uwezekano wa kukutana na sura mpya kabisa ambayo hujawahi kuiona katika uhai wako. Huna sababu ya kung'ang'ana na yule ambaye haoni thamani na umuhimu wako. Unayo fursa ya kukutana na wengi mbeleni wenye mema nawe. Wanaokuthamini wanakusubiri mbeleni."

Geoffrey Moturi - Kawangware Finest ™ (@cbs_ke) 's Twitter Profile Photo

Dear heavenly Father, Thank you for the new day that is upon us. Thank you for your mercy and kindness. Thank you for forgiving us when we error, you are so merciful. May we do what pleases you always. Deliver us from evil, and may your light shine on us, in Jesus' name, Amen🙏

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Namibia Nandi-Ndaitwah; 1. Anajenga viwanja 7 vya soka 2.Ametangaza Elimu bure Chuo Kikuu 3. Amepunguza Wizara kutoka 21 hadi 14 4.Amepunguza Manaibu waziri toka 21 hadi 7 5.Amefuta madeni ya mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo 6. Anajenga nyumba 5000 kwa watu wenye vipato duni

Rais wa Namibia Nandi-Ndaitwah;
1. Anajenga viwanja 7 vya soka
2.Ametangaza Elimu bure Chuo Kikuu
3. Amepunguza Wizara kutoka 21 hadi 14
4.Amepunguza Manaibu waziri toka 21 hadi 7
5.Amefuta madeni ya mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo
6. Anajenga nyumba 5000 kwa watu wenye vipato duni
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Wakala mmoja wa Benki aitwae Paulo Akweso Mkazi wa Songea Mkoani Ruvuma, amekimbilia mikononi mwa Polisi kuomba msaada baada ya kutapeliwa kiasi cha Tsh. milioni 147.3 na Watu watatu waliojifanya Viongozi wa dini waliomuaminisha kuwa pesa hizo zitaongezeka baada ya kuchukuliwa na