Dr.kabuje (@kabujedr) 's Twitter Profile
Dr.kabuje

@kabujedr

//love your health //medical consultant //medical advisor 🩺💊 lets talk about your health// medical technologist
//manchester United //simba fc //Realmadrid

ID: 1660721828824752132

calendar_today22-05-2023 18:58:52

5,5K Tweet

1,1K Takipçi

196 Takip Edilen

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Binafsi nakubali kuwa BIEN anauwezo mkubwa wa kimuziki {kiujumla}. Ila OTILE BROWN ni mtaalam wa kuandaa Muziki mzuri na rafiki kwa Msikilizaji. Ukimuwela BIEN na OTILE nitakuwa upande wa OTILE. Mtu na Nusu Team_OB 📌

Binafsi nakubali kuwa BIEN anauwezo mkubwa wa kimuziki {kiujumla}.

Ila OTILE BROWN ni mtaalam wa kuandaa Muziki mzuri na rafiki kwa Msikilizaji.

Ukimuwela BIEN na OTILE nitakuwa upande wa OTILE.

Mtu na Nusu 

Team_OB 📌
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

#WanaWapeweMauaYao Unaweza ukawa sio Mtumiaji wa IG ila kila kinachoendelea unaweza kuwa unakipata kwa mwanetu. Amechagua upande wake noma kabisa na kiukweli anatuokolea sana Mabundle.😅 Binafsi mimi ni shabiki yake sana, Maana nakuwa Apudetediiii kupitia Acc yake📌

#WanaWapeweMauaYao

Unaweza ukawa sio Mtumiaji wa IG ila kila kinachoendelea unaweza kuwa unakipata kwa mwanetu.

Amechagua upande wake noma kabisa na kiukweli anatuokolea sana Mabundle.😅

Binafsi mimi ni shabiki yake sana, Maana nakuwa Apudetediiii kupitia Acc yake📌
Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Sema vijana wenzetu wa Dar es salaam mnaongoza kwa kulalamika lalamika sana😁. Mara nilimfanyia hivi,mara alinilisha makombo,mara hajibu sms zangu,mara amemchukua demu wangu,mara nilimwandikia,mara hanisaidii,mara hapokei simu😄🙌🏿. Kwamba nyie kwenye makuzi yenu hamkufundishwa