Dr.kabuje (@kabujedr) 's Twitter Profile
Dr.kabuje

@kabujedr

//love your health //medical consultant //medical advisor ๐Ÿฉบ๐Ÿ’Š lets talk about your health// medical technologist
//manchester United //simba fc //Realmadrid

ID: 1660721828824752132

calendar_today22-05-2023 18:58:52

5,5K Tweet

1,1K Followers

196 Following

Dullah_theKing๐ŸŽง (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Binafsi nakubali kuwa BIEN anauwezo mkubwa wa kimuziki {kiujumla}. Ila OTILE BROWN ni mtaalam wa kuandaa Muziki mzuri na rafiki kwa Msikilizaji. Ukimuwela BIEN na OTILE nitakuwa upande wa OTILE. Mtu na Nusu Team_OB ๐Ÿ“Œ

Binafsi nakubali kuwa BIEN anauwezo mkubwa wa kimuziki {kiujumla}.

Ila OTILE BROWN ni mtaalam wa kuandaa Muziki mzuri na rafiki kwa Msikilizaji.

Ukimuwela BIEN na OTILE nitakuwa upande wa OTILE.

Mtu na Nusu 

Team_OB ๐Ÿ“Œ
Dullah_theKing๐ŸŽง (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

#WanaWapeweMauaYao Unaweza ukawa sio Mtumiaji wa IG ila kila kinachoendelea unaweza kuwa unakipata kwa mwanetu. Amechagua upande wake noma kabisa na kiukweli anatuokolea sana Mabundle.๐Ÿ˜… Binafsi mimi ni shabiki yake sana, Maana nakuwa Apudetediiii kupitia Acc yake๐Ÿ“Œ

#WanaWapeweMauaYao

Unaweza ukawa sio Mtumiaji wa IG ila kila kinachoendelea unaweza kuwa unakipata kwa mwanetu.

Amechagua upande wake noma kabisa na kiukweli anatuokolea sana Mabundle.๐Ÿ˜…

Binafsi mimi ni shabiki yake sana, Maana nakuwa Apudetediiii kupitia Acc yake๐Ÿ“Œ
Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Sema vijana wenzetu wa Dar es salaam mnaongoza kwa kulalamika lalamika sana๐Ÿ˜. Mara nilimfanyia hivi,mara alinilisha makombo,mara hajibu sms zangu,mara amemchukua demu wangu,mara nilimwandikia,mara hanisaidii,mara hapokei simu๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ. Kwamba nyie kwenye makuzi yenu hamkufundishwa