Justini Alfayo (@justinialf43093) 's Twitter Profile
Justini Alfayo

@justinialf43093

ID: 1637871576971452416

calendar_today20-03-2023 17:40:45

3,3K Tweet

1,1K Followers

4,4K Following

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema kelele na ukosoaji unaoelekezwa kwake na baadhi ya watu kutokana na mtindo wake wa uongozi zinampa ari na nguvu zaidi katika kuwatumikia wananchi wa Arusha. Akizungumza na Maafisa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema kelele na ukosoaji unaoelekezwa kwake na baadhi ya watu kutokana na mtindo wake wa uongozi zinampa ari na nguvu zaidi katika kuwatumikia wananchi wa Arusha.

Akizungumza na Maafisa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amemsimamisha kazi Mganga Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Dkt. Petro Mboya pamoja na Watumishi wengine wa Idara ya Afya Wilayani humo ili kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za upigaji wa zaidi ya Tsh. milioni 600 zilizokuwa

Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

NAKUFUNGULIA MAMBO USIYOYAJUA : Inawezekana zipo sababu za msingi za kuuficha ukweli huu na tunaweza kusema huu ndio ukweli pekee uliofichwa kwenye mafundisho yetu mbalimbali kuhusu mwanzo wa mwanadamu. Inawezekana wengi hatujui ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza au.. . .

NAKUFUNGULIA MAMBO USIYOYAJUA :

Inawezekana zipo sababu za msingi za kuuficha ukweli huu na tunaweza kusema huu ndio ukweli pekee uliofichwa kwenye mafundisho yetu mbalimbali kuhusu mwanzo wa mwanadamu.

Inawezekana wengi hatujui ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza au..
.
.
Wananchi Tv (@wananchitv) 's Twitter Profile Photo

“Kuanzia sasa hivi wameshasimama kazi…, hakuna mswalia mtume kwa mtu anayetuhumiwa kwa rushwa,” RC Arusha, Paul Makonda, amewaeka kando watumishi 15 wanaousika kwa wizi wa fedha milioni 600 kwa kuwabaini mtandao wao mkubwa na vigogo kuhusuka.

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

KUTOKA KANISA MPAKA ZIWA Ndani ya Italy kuna ziwa linaitwa Lake Reschen, Japo jina hili la Kiingereza si maarufu sana, Jina Maarufu ni lile la Kijerumani "Reschensee" ziwa hili lina eneo 6.6 KM² hivi. (THREAD)

KUTOKA KANISA MPAKA ZIWA

Ndani ya Italy kuna ziwa linaitwa Lake Reschen, Japo jina hili la Kiingereza si maarufu sana, Jina Maarufu ni lile la Kijerumani "Reschensee" ziwa hili lina eneo 6.6 KM² hivi.

(THREAD)
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Mtu mjinga katika maisha ni yule anayesifia uwepo wa amani kabla ya kusisitiza uwepo wa haki, amani ni tunda la haki. Tunaishi kwenye jamii ya hovyo sana iliyojaa watu wanafiki, wenye wivu, husda, inda, wasiokuwa na utu, uzalendo wala maono hata ya kumsaidia mkuu wa nchi,

GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

"Haiwezekani waliotoka kwenye Vyama vya upinzani Moja kwa Moja Magufuli akawapa na Fasi ya Kugombea, na wengine wakapewa vyeo..! Maana halisi ya neno CCM ina wenyewe iko wapi? tuta hakikisha 2025 October tunawakata Wahamiaji haramu woote walio hamia CCM Kipindi cha Jpm" :~Wajumbe

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nimeangalia hii, nimejikuta najisikia vibaya sana. Vibaka wamefanya shughuli ya bodaboda ionekane ni kazi ya vibaka na wezi. Kuna wakati napata taabu kuwatetea watu wa aina hii polisi wanapoendesha oparesheni ya kuwamwaga ubongo huko mtaani. Chukueni tahadhari ndugu zangu 💔

GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

"yani Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi. Kule Angola kikundi hicho

"yani Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi. Kule Angola kikundi hicho
Wananchi Tv (@wananchitv) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa, ameshindwa kujizuia kutokwa na machozi baada ya kusikiliza mkazi wa Arusha, Respis Brasius, ambaye alikiri kwamba alifikia hatua ya kutaka kunywa sumu kutokana na mateso ya muda mrefu aliyoyapata akitafuta haki

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mchina Anapiga Ngumi Jiwe. Kamchapa Wilder Kwa KO! Huyu WILDER Toka Apasuliwe Ngoma Ya Sikio Na TYSON FURY Hajawahi Kukaaa Sawa George Job

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

NGOJA NIKUPE STORI KUHUSU HII MELI..... Hii pichani ni Meli ambayo ili kupakia mzigo, Basi lazima izame kwenye maji Deck yote. Meli aina hii zinaitwa Semi-submersible heavy-lift ships na hubeba mizigo mizito zaidi kupita hata hizi meli tunazoziona. ( THREAD)🧵

NGOJA NIKUPE STORI KUHUSU HII MELI.....

Hii pichani ni Meli ambayo ili kupakia mzigo, Basi lazima izame kwenye maji Deck yote.

Meli aina hii zinaitwa Semi-submersible heavy-lift ships na hubeba mizigo mizito zaidi kupita hata hizi meli tunazoziona.

( THREAD)🧵
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

JINSI YA KUPATA FOLOWAZI EKSINI (X) MCHANA huu FOLOWAZI ni wengi🔥🔥 ✍🏿Kwanza heshimu X za KUINUANA ✍🏿Ukiona X za kuinuana LIKE, REPOST na QUOTE, ✍🏿Mwisho unashusha HENDO yako ✍🏿Mwisho kabisa like zile HENDO walizoweka wenzako na kuzireply FB NB: USICHOKE KUSHUSHA HENDO KWA

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Yani anyimwe haki uchaguzi wa ndani Chadema aje atetewe mitandaoni na yuvisisiemu?😂😂hivi mnatuonaje,kwamba sisiemu ina uchungu sana na demokrasia ndani ya CDM?huu uchungu mlishindwa kuuonesha kipindi Magu anakata majina ya wagombea 2020?

nikki_wa111 (@nikkiwa111) 's Twitter Profile Photo

JALADA #29: 𝐙𝐈𝐉𝐔𝐄 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐙𝐀 𝐅𝐁𝐈 𝐕𝐬 𝐂𝐈𝐀 ▪︎Usichanganye madesa, kuna mmoja ni mdudu anaesumbua dunia yote na mwingine hatoki nje ya nchi. ▪︎Nini kilipangwa sirini 1954, kinatokea sasa? ▪︎Dada wa Taifa anasema aliitwa na FBI.....sasa aliogopa nini?

JALADA #29: 𝐙𝐈𝐉𝐔𝐄 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐙𝐀 𝐅𝐁𝐈 𝐕𝐬 𝐂𝐈𝐀

▪︎Usichanganye madesa, kuna mmoja ni mdudu anaesumbua dunia yote na mwingine hatoki nje ya nchi.

▪︎Nini kilipangwa sirini 1954, kinatokea sasa?

▪︎Dada wa Taifa anasema aliitwa na FBI.....sasa aliogopa nini?
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

UGANDA INATAFUTA SOKO TZ? Ujue Uganda wako Serious wanataka kutuuzia hizi Basi zao! Kiufupi Basi linaonekana ni Bora kabisa, Lakini ni Made in Uganda, Brand Model KAYOOLA. (SHORT THREAD)

UGANDA INATAFUTA SOKO TZ?

Ujue Uganda wako Serious wanataka kutuuzia hizi Basi zao!

Kiufupi Basi linaonekana ni Bora kabisa, Lakini ni Made in Uganda, Brand Model KAYOOLA.

(SHORT THREAD)
Joseph Remmy💎 (@mfipa) 's Twitter Profile Photo

Dunia🌍 Watu mnajipa umuhim ambao hamna.... TISS watake namba zako wazikose? Hizi namba mnazowapa Hadi bodaboda, Kama una namba ya nida, una taarifa za kibiashara, taarifa za kibenki na uko Tanzania, ELEWA KWAMBA UNATEMBEA UCHI Nadhani ungesema hautaki Malaya wa Twitter ungeeleweka