Jukwaa
@jukwaa_co
coming soon โฆโฆ! follow @jukwaacreators
ID: 1564210789027913728
http://www.jukwaa.co 29-08-2022 11:18:17
263 Tweet
635 Followers
2 Following
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Jukwaa Africa ,Grory Kemilembe Kemmie Mtagwaba alihudhuria Usiku wa Tuzo za Simulizi za Mabadiliko pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Jamii Check .Hafla iliandaliwa na Jamii Forum Jamii Forums .
Boss wetu wa Mawasiliano Kemmie Mtagwaba .Tunajivunia kuwa nae kwenye Team ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐๏ธ๐๏ธGirl #changeleaders of the #blueeconomy in #zanzibar we celebrate Arafa's innovation in recycling! UN Women Canada in Tanzania @jukwaaafrica Christine Musisi NnkoEm Dr Hussein Ali Mwinyi Aboud Jumbe Follow @ODET_UN for the latest updates SUZAYouthMappers UN Environment Programme Blue Innovation Challenge Tanzania in UN #circulareconomy๐ฆพ๐ฆพ
Dunia ikiwa inasheherekea siku ya Mwanamke kwenye Sayansi na Teknolojia . Jukwaa Africa tunajivunia kazi kubwa inayofanya kwa mkuu wetu wa Mawasiliano , Kemmie Mutagabwa Kemmie Mtagwaba. Heri ya Siku hii Adhimu kwa wanawake na Mabinti wote ulimwenguni.