Joyce Nangai
@joyce_nangai
Head of Projects, Association of Tanzania Employers (ATE)
ID: 716545706245373952
http://www.ate.or.tz 03-04-2016 08:39:43
198 Tweet
171 Followers
197 Following
Michezo ni njia ya kuimarisha umoja na mshikamano Kwenye jamii zetu,Kwa kutambua Hilo Association of Tanzania Employers(ATE) wanacheza Mechi ya kirafiki na wadau wa NSSF Tanzania siku ya leo ili kuimarisha mshirikiano kwa tasisi hizi. Ni Viwanja vya Gwambina Temeke.. #ATETanzania
Michezo ni njia ya kuimarisha umoja na mshikamano Kwenye jamii zetu,Kwa kutambua Hilo Association of Tanzania Employers(ATE) wanacheza Mechi ya kirafiki na wadau wa NSSF Tanzania siku ya leo ili kuimarisha mshirikiano kwa tasisi hizi. Ni Viwanja vya Gwambina Temeke.. #ATETanzania
Mafunzo haya kwa mara ya kwanza yalizinduliwa na Chama cha Waajiri Tanzania mwaka 2016, wakati Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. -Prof. Joyce Lazaro Ndalichako #FemaleFetureWabunge | #ATETanzania
Baadhi ya Wahitimu wa Mafunzo ya Programu ya Mwanamke Kiongozi kwa Wabunge Wanawake wakipokea vyeti ikiwa ni sehemu ya mahafali ya mafunzo ya viongozi wanawake Female Future Tanzania katika viwanja vya Bunge. #FemaleFutureWabunge | #ATETanzania
Siku ya Leo kwangu ni ya mhuhimu na mafanikio makubwa kwani Mafunzo haya yalianza kutolewa katika sekta binafsi na leo tumeshuhudia yametolewa kwa Wabunge Wanawake hakika Niwashukuru wote waliofanikisha jambo hili. - Jayne Nyimbo Mwenyekiti wa Association of Tanzania Employers(ATE) #FemaleFutureWabunge
Kilele cha tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2023 ni tarehe 4 Disemba kuanzia Asubuhi katika ukumbi wa Milimani City, akiongea na Mtangazaji Masoud Kipanya kwenye kipindi cha Power Breakfast Mkurugenzi Mtendaji wetu ametanabaisha zaidi ya vipengele 14 vitatolewa tuzo. #EYA2023
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Media Mkurugenzi Mtendaji wa ATE, Adv Suzanne Ndomba-Doran akiongea kuelekea Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2023 amesema mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa. #EYA2023
ATE CEO Ms. Suzanne Ndomba-Doran together with Equinor Tanzania Ms. Unni Fjaer, Vice President & Country Manager, Tanzania, TPSF CEO Mr. Raphael Maganga and Equinor Tanzania, Genevieve Kasanga, Leader Communications / People and Organisation. Equinor ASA Tanzania Private Sector Federation (TPSF)
ATE has today, 12th February 2024 as part of Tanzania Business delegation in Norway attended a Meeting at Equinor HQ in Oslo together with other delegates from the Private Sector. During the meeting Equinor shared their global business and updates on the LNG in Tanzania Tanzania Private Sector Federation (TPSF)