Female Future Tanzania
@femalefuture_tz
Female Future is an executive program which is developed to help determined women to attain top leadership positions in both public and private sectors.
ID: 1032925846091247616
24-08-2018 09:41:27
192 Tweet
276 Followers
24 Following
Hon. Dr. Saada Mkuya Salum - Minister of State Office of the President, Finance and Planning, Zanzibar. Giving her remarks on Female Future Tanzania as she is one among the beneficiaries of this program. #ALC2023 | #FemaleFutureTz
Dkt. Doroth Gwajima Dr. Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Akitoa salamu za pongezi kwa Wahitimu na Wageni Waalikwa kwenye Mkutano wa Mwaka wa Mwanamke Kiongozi. #ALC2023 | #FemaleFutureTz
Ms. Jayne Nyimbo Mwenyekiti wa bodi ya Association of Tanzania Employers(ATE) akitoa salamu kwa Wageni Waalikwa na wahudhuriaji wa mkutano. Mwenyekiti ametumia muda huo kumkaribisha Mhe. Joyce Ndalichako, Waziri OWM-KAVW #ALC2023 | #FemaleFutureTz
Programu ya Mwanamke Kiongozi kwa mwaka huu imebeba ujumbe unaosema “Mchango wa Mabadiliko ya Kidigitali katika Kuimarisha Usawa wa Kijinsia katika Uchumi wa Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Fursa”. - Prof. Joyce Lazaro Ndalichako, (MB) Waziri, OWM- KAVW #ALC2023 | #FemaleFutureTz
Mhe. Waziri Dr. Dorothy Gwajima aliambatana na Mhe. Riziki Juma Pembe (Mb), Waziri wa Maendelea ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Zanzibar pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb).
Since it’s Launch in 2016, ATE has worked with ESAMI to deliver the Female Future Tanzania in Tanzania with an objective in increasing the number of women in decision making processes as well as adding to the efforts to achieving gender equality in top leadership positions