Johnny Msong’o (@jonijo_dee) 's Twitter Profile
Johnny Msong’o

@jonijo_dee

|kurya boy|No Way Is My Way|@SimbaSCTanzania fans|#WenyeNchi #NguvuMoja

ID: 1325901244309925888

calendar_today09-11-2020 20:41:37

7,7K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

AFCON 2025 ☑️ Hongera Steven Mukwala kwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ambacho kimefuzu Kombe la Mataifa Afrika 2025. #WenyeNchi #NguvuMoja

AFCON 2025 ☑️

Hongera Steven Mukwala kwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ambacho kimefuzu Kombe la Mataifa Afrika 2025. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Simba inatoa pole kwa wote waliokumbwa na janga hilo pamoja na familia zao huku tukiombea zoezi la uokozi likamilike na majeruhi wapate nafuu. #WenyeNchi #NguvuMoja

Simba inatoa pole kwa wote waliokumbwa na janga hilo pamoja na familia zao huku tukiombea zoezi la uokozi likamilike na majeruhi wapate nafuu. #WenyeNchi #NguvuMoja
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kumbe huwa mkifata zile PROMO CODE mnaitwa NYUMBU😅😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Alafu mna LOST wenzenu wanatajirika kwa kupata Commission 😅😅😅 AMA kweli wajinga ndio waliwao 😂

#TajiriLaKihaya 

Kumbe huwa mkifata zile PROMO CODE mnaitwa NYUMBU😅😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Alafu mna LOST wenzenu wanatajirika kwa kupata Commission 😅😅😅

AMA kweli wajinga ndio waliwao 😂
Jerasp | Ajira (@jerasporg) 's Twitter Profile Photo

Nafasi 3 za Kazi kwa Wataalamu wa Mionzi (Radiographers) Qualitas Hospital Deadline: January 6, 2025 Application link 👇 jerasp.org/2024/12/28/job… ___

Nafasi 3 za Kazi kwa Wataalamu wa Mionzi (Radiographers) Qualitas Hospital

Deadline: January 6, 2025

Application link 👇 

jerasp.org/2024/12/28/job…
___
Dr_Dalton (@mr_uturi47) 's Twitter Profile Photo

🧵🔮Ushawahi kujiuliza nini Maana ya Eau de parfum ? Na je ukiona perfume box yake imeandikwa Eau de perfume🌺🪻 ni Huwa original🤔?Jibu ni hapana 😄 Hilo neno linaweza kuwepo kwe perfume og na perfume fake pia so sio guarantee ya perfume kuwa original.Sasa EAU DE PARFUM (EDP) ni

🧵🔮Ushawahi kujiuliza nini Maana ya Eau de parfum ?
Na je ukiona perfume box yake imeandikwa Eau de perfume🌺🪻 ni Huwa original🤔?Jibu ni hapana 😄 Hilo neno linaweza kuwepo kwe perfume og na perfume fake pia so sio guarantee ya perfume kuwa original.Sasa EAU DE PARFUM (EDP) ni