Johan Jokhan Tz (@jokhantz) 's Twitter Profile
Johan Jokhan Tz

@jokhantz

Am proud to be a Tanzanian 🇹🇿🥰

ID: 1857758331730866176

calendar_today16-11-2024 12:11:55

2,2K Tweet

135 Followers

205 Following

SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Mei, 2025.

Mturutumbi_mmoja (@mturutumbi_) 's Twitter Profile Photo

Kutokana na maboresho makubwa sana yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Mh Rais. Dkt SAMIA SULUHU HASSAN kwenye sekta ya bandari hii imesaidia kuifanya bandari ya Dar es salaam kuwa lango kuu la biashara kwa nchi zisizo na bandari. #SSH2025

Kutokana na maboresho makubwa sana yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Mh Rais. Dkt SAMIA SULUHU HASSAN kwenye sekta ya bandari hii imesaidia kuifanya bandari ya Dar es salaam kuwa lango kuu la biashara kwa nchi zisizo na bandari.
#SSH2025
Mtoto wa Tanzania (@mwacha_1961) 's Twitter Profile Photo

SISI NI TANZANIA Huu kwetu ni ushindi hivyo hatuna budi kuendelea kutunza vivutio vyetu vya asili ili watalii waendelee kumiminika Tanzania #Sisinitanzania #matokeochanya #sisinitanzaniampya

<a href="/sisiniTanzania/">SISI NI TANZANIA</a> Huu kwetu ni ushindi hivyo hatuna budi kuendelea kutunza vivutio vyetu vya asili ili watalii waendelee kumiminika Tanzania
#Sisinitanzania 
#matokeochanya
#sisinitanzaniampya
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amerejea nyumbani Kigoma kutoa shukrani kwa wananchi wake waliomchagua kuwa mwakilishi wao katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hafla hiyo ya shukrani

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hata kama atakuwa Waziri Mkuu kwa muda wa wiki moja atahakikisha anawasemea Watanzania wa hali ya chini na hatokubali taifa liwe na matabaka bali atahakikisha Watanzania wote wanakuwa sawa na kunakuwepo na usawa wa kisheria. Dkt. Nchemba

Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

WALE WA DODOMA, MAMA YENU, DADA, MKE,RAFIKI MWAMBIENI AACHE HII TABIA.. KAMERA ZIMEMNASA AKIIBA AIBU SANA.. NJOO KWA COMMENTS UONE VIDEO YAKE

WALE WA DODOMA, MAMA YENU, DADA, MKE,RAFIKI MWAMBIENI AACHE HII TABIA.. KAMERA ZIMEMNASA AKIIBA AIBU SANA.. NJOO KWA COMMENTS UONE VIDEO YAKE
Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA: KUWEKA MSINGI MPYA WA MUSTAKABALI WA VIJANA TANZANIA Katika kipindi ambacho dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya kijamii, kiuchumi na kiteknolojia, vijana wameendelea kuwa kundi lenye nguvu kubwa lakini pia lenye changamoto nyingi.

KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA: KUWEKA MSINGI MPYA WA MUSTAKABALI WA VIJANA TANZANIA

Katika kipindi ambacho dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya kijamii, kiuchumi na kiteknolojia, vijana wameendelea kuwa kundi lenye nguvu kubwa lakini pia lenye changamoto nyingi.
Mimi na Muungano (@miminamuungano) 's Twitter Profile Photo

MPANGO WA ELIMU KWA UMMA KUHUSU MUUNGANO 19/12/2025 KUTOKA WAZIRI MASAUNI AKIHOJIWA ZBC #muungano #miminamuungano #sisinitanzania

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, tarehe 23 Desemba, 2025.

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo