Dicksone John (@john_dicksone) 's Twitter Profile
Dicksone John

@john_dicksone

BUSINESS MAN... NGOSHA ... Hustler, 🇹🇿. Azam FC ,

ID: 1150724516026494976

calendar_today15-07-2019 11:11:18

796 Tweet

937 Followers

3,3K Following

Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

⚠️JINSI ya Kuendesha Gari bila kumaliza Tyres.. . Juzi nimeketi kwa office najibu DM na reply za wadau twitter nikapata Simu kutoka kwa dada Flani mteja wetu wa zamani.. . Dada mwaka Jana Mwezi wa 5 tulimuagizia Suzuki Escudo 2006, Gari ilikua kali sana [body, interior, engine]..

⚠️JINSI ya Kuendesha Gari bila kumaliza Tyres..

Juzi nimeketi kwa office najibu DM na reply za wadau twitter nikapata Simu kutoka kwa dada Flani mteja wetu wa zamani..

Dada mwaka Jana Mwezi wa 5 tulimuagizia Suzuki Escudo 2006, Gari ilikua kali sana [body, interior, engine]..
Dicksone John (@john_dicksone) 's Twitter Profile Photo

Najua ugumu wa kucheza game za away...lkn kutokana na maandalizi ya kikosi Cha msimu huu Kila kitu kinawezekana na historia inaenda kuandikwa chamazi..MUNGU MKUBWA 🙏🙏 Azam FC @AzamFcFansPage Abdulkarim M Nurdin zaka zakazi yusufbakhresa hamza Lule Abdulsopu

Najua ugumu wa kucheza game za away...lkn kutokana na maandalizi ya kikosi Cha msimu huu Kila kitu kinawezekana na historia inaenda kuandikwa chamazi..MUNGU MKUBWA  🙏🙏 Azam FC @AzamFcFansPage Abdulkarim M Nurdin  zaka zakazi  yusufbakhresa hamza Lule Abdulsopu
MASSAY, Elifuraha Joshua (@elifuraha_jm) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wanaokosoa sera ya majimbo ya @ChademaTz kuwa sera hiyo inaongeza gharama kwa mlipa kodi. Je, umewahi kujua muundo wa sasa wa serikali za mitaa una gharama kiasi gani? Sera ya @ChademaTz inapendekeza kufuta kabisa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na makatibu tarafa.

Kwa wale wanaokosoa sera ya majimbo ya @ChademaTz kuwa sera hiyo inaongeza gharama kwa mlipa kodi. Je, umewahi kujua muundo wa sasa wa serikali za mitaa una gharama kiasi gani? Sera ya @ChademaTz inapendekeza kufuta kabisa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na makatibu tarafa.
InfinixMobileTZ (@infinixmobiletz) 's Twitter Profile Photo

Yanga SC na USMA leo, Yanga ataubeba Ubingwa? Weka matokeo yako Ushinde Package maalumu. > Follow InfinixMobileTZ > Weka Utabiri wako, mfano; Yanga 03 - USMA 02 > Tag Marafiki zako watano > Retweet tweet hii Washindi ni watu watatu wa kwanza wenye Utabiri sahihi.

Yanga SC na USMA leo, Yanga ataubeba Ubingwa?
Weka matokeo yako Ushinde Package maalumu.
> Follow InfinixMobileTZ
> Weka Utabiri wako, mfano; Yanga 03 - USMA 02
> Tag Marafiki zako watano
> Retweet tweet hii
Washindi ni watu watatu wa kwanza wenye Utabiri sahihi.
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Naomba #Retweet Ndugu🙏🏿💙 [Faida] Mafuta ya Ndevu na ya nywele.👇🏿 💫Hulainisha ndevu/ nywele, 💫Hutunza rangi asili ya ndevu/ nywele, 💫 kuzuia ndevu/ nywele kukatika, 💫Hujaza na kurefusha ndevu/ nywele kwa haraka, 💫kuzuia muwasho na mapele kwenye kidevu/ kichwani.

Naomba #Retweet Ndugu🙏🏿💙

[Faida]
Mafuta ya  Ndevu na ya nywele.👇🏿
💫Hulainisha ndevu/ nywele,
💫Hutunza rangi asili ya ndevu/ nywele,
💫 kuzuia ndevu/ nywele kukatika,
💫Hujaza na kurefusha ndevu/ nywele kwa haraka,
💫kuzuia muwasho na mapele kwenye kidevu/ kichwani.
Mishalymish (@mishalymish) 's Twitter Profile Photo

Nawashukur wote mlio changia na kuwajulisha tangu tulipo anza challenge rasmi kwaajil ya kuchangia matibabu yangu India tarehe 26/6/ 2023 mpaka Leo tarehe 28/9/ 2023 kiasi kilichopatikana ni 4,598,307 kati ya million 91,000,000.00 Bado million 86,401,693 ili kukamilisha kiwango

Nawashukur wote mlio changia na kuwajulisha tangu tulipo anza challenge rasmi kwaajil ya kuchangia matibabu yangu India tarehe 26/6/ 2023 mpaka Leo tarehe 28/9/ 2023 kiasi kilichopatikana ni

4,598,307 kati ya million 91,000,000.00 Bado million 86,401,693 ili kukamilisha kiwango
Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

“Kama tukiendelea na utaratibu huu tusipoangalia tutakuja kuleta vurugu na kuhatarisha Amani. Nazungumza haya kwa sababu ya uzoefu mimi katika utumishi wangu nimekuwa mshauri kila uchaguzi unapotokea” ~ Jaji Joseph Sinde Warioba #CrownHabari #HapaNiNyumbani

“Kama tukiendelea na utaratibu huu tusipoangalia tutakuja kuleta vurugu na kuhatarisha Amani. Nazungumza haya kwa sababu ya uzoefu mimi katika utumishi wangu nimekuwa mshauri kila uchaguzi unapotokea” ~ Jaji Joseph Sinde Warioba

#CrownHabari #HapaNiNyumbani