J.Mustafa (@jmustafajr) 's Twitter Profile
J.Mustafa

@jmustafajr

Kun Faya Kun ( كُن فَيَكُونُ )
🏝️
Pops , Husband & Citizen.

ID: 799035235388243969

calendar_today16-11-2016 23:43:40

5,5K Tweet

419 Followers

249 Following

Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Miroshi büyük maçlarda harika bir oyuncu, forvet ve aynı zamanda tüm savunma pozisyonlarında da oynayabiliyor, Fenerbahçe maçında başarılar dileriz.

Miroshi büyük maçlarda harika bir oyuncu, forvet ve aynı zamanda tüm savunma pozisyonlarında da oynayabiliyor, Fenerbahçe maçında başarılar dileriz.
I. Cox (@ianecox) 's Twitter Profile Photo

Tanzanian 93rd Special Forces Battalion training with the 3rd Special Forces Group (Airborne) in Dar es Salaam, Tanzania 🇺🇸🤝🇹🇿 in August of 2025.

Tanzanian 93rd Special Forces Battalion training with the 3rd Special Forces Group (Airborne) in Dar es Salaam, Tanzania 🇺🇸🤝🇹🇿 in August of 2025.
J.Mustafa (@jmustafajr) 's Twitter Profile Photo

Tanzania and United States of America shared understandings are on:- 1. Investment 2. Immigration 3. Trade 4. Defence A SHIFT.

Magram (@dktmahmoud) 's Twitter Profile Photo

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe If I were your VP, I would’ve advised you paying off foreign loan fast isn’t always “smart.” If the interest is manageable, invest part of that capital into steel/iron and manufacturing inputs build the base for machinery, jobs, and real industrialization in the country.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati akitokea

Suji Rainmakers (@semkae) 's Twitter Profile Photo

Ndiyo tujiulize. Obama na mke wake, walikalia pale Ikulu Marekani miaka 8, wanapostiwa kuwa wao ni kama nyani. Unafikiri sisi waafrika kwa mtu kama huyu mbaguzi ana muda nasi? Amiri jeshi mkuu wao keshatuambia. Sasa wapeni madini na mafuta yetu kwa bei chee. Watatudharau zaidi.

Palla Magorofani (@evaristmbuya) 's Twitter Profile Photo

SIR TIVA Kiukweli hawa wanaozungumzia haki za binadamu napata shida sana kuwaelewa kwa kuwa wameuwa mamilioni ya watu ulimwenguni kuanzia Iraq, Libya, Kuwait, Afghanistan, Serbia na Palestine! Nani WA kuwahoji wao kwenye haki za binadamu? Ni kwann wao hata wakishitakiwa ICC hawataki???

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Viwanja vya Ikulu ya Dar es salaam kwa ziara ya siku Moja leo February 07,2026.

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Viwanja vya Ikulu ya Dar es salaam kwa ziara ya siku Moja leo February 07,2026.
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Februari, 2026. _____

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Februari, 2026. 
_____
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026. _____

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026. 
_____
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko Kuu jipya la Kariakoo, Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2026. _____ #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #MaendeleoEndelevu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko Kuu jipya la Kariakoo, Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2026.
_____
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#TabasamuLaUtu
#MaendeleoEndelevu
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2026 kabla ya kuondoka nchini kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Februari, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) wa mwaka 2026, Februari 13, 2026, jijini Addis Ababa, Ethiopia, chini ya Uenyekiti wa

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍 Dar es Salaam ▪️RAIS WA CAF AWASILI TANZANIA Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, amewasili rasmi nchini Tanzania asubuhi ya leo kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kamati Tendaji ya Shirikisho hilo. Mutsepe amepokelewa na Waziri wa

📍 Dar es Salaam

▪️RAIS WA CAF AWASILI TANZANIA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, amewasili rasmi nchini Tanzania asubuhi ya leo kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kamati Tendaji ya Shirikisho hilo.

Mutsepe amepokelewa na Waziri wa
Lorenz Köhler (@lorenz_ko) 's Twitter Profile Photo

𝐓𝐡𝐞 𝐑𝐨𝐜𝐤 🇿🇦🪨 Three goals in three games, commanding in defence and the new captain of Simba SC. Rushine de Reuck. 👏 #NguvuMoja

𝐓𝐡𝐞 𝐑𝐨𝐜𝐤 🇿🇦🪨

Three goals in three games, commanding in defence and the new captain of Simba SC.

Rushine de Reuck. 👏 

#NguvuMoja
Ghana Presidency (@ghanapresidency) 's Twitter Profile Photo

President John Dramani Mahama has arrived in Arusha, Tanzania, ahead of the opening of the Judicial Year of the African Court on Human and Peoples’ Rights. As Special Guest of Honour, the President will deliver a landmark address, becoming the first Ghanaian Head of State to

President John Dramani Mahama  has arrived in Arusha, Tanzania, ahead of the opening of the Judicial Year of the African Court on Human and Peoples’ Rights.

As Special Guest of Honour, the President will deliver a landmark address, becoming the first Ghanaian Head of State to
J.Mustafa (@jmustafajr) 's Twitter Profile Photo

Eventually,Iran imposes a widespread tariff to the whole world through a single strategic chokepoint. China enjoys both free sailing to Strait of hormuz and abundant rare earth mineral reserve. Oil won WWII; Oil and minerals do to WWIII. The deal maker shot himself in the foot.