Jasiri Mjasiriamali (@jmjasiriamali) 's Twitter Profile
Jasiri Mjasiriamali

@jmjasiriamali

ID: 1234206688225394690

calendar_today01-03-2020 20:00:21

512 Tweet

67 Takipçi

176 Takip Edilen

Dr. Mlaluko, MD (@drmlalukomd) 's Twitter Profile Photo

Leo nilimuuliza daktari idara ya msaada wa haraka (EMERGENCY). Nikamuuliza "kwanini suspects wanachanganywa katika tent moja??. Je, ikiwa mmoja wao ni mgonjwa si ataambukiza wenzie"??.Kwa moyo wa kukata tamaa/huruma akanijibu..."Sasa daktari hakuna resources unategemea nini??"

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Changia mada kulingana na #Hashtag ya siku. MADA: Ni tabia gani ambayo unahisi inawafelisha vijana wengi? JINSI YA KUCHANGIA MADA Tuma tweet yako ukianza na #eatvTPT Tweet yako tutaruka nayo LIVE hewani, leo kwenye kipindi cha #Hashtag kuanzia saa 10:30 jioni.

Changia mada kulingana na #Hashtag ya siku.

MADA:

Ni tabia gani ambayo unahisi inawafelisha vijana wengi? 
           
JINSI YA KUCHANGIA MADA

Tuma tweet yako ukianza na #eatvTPT

Tweet yako tutaruka nayo LIVE hewani, leo kwenye kipindi cha #Hashtag kuanzia saa 10:30 jioni.
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Aliyeelewa hili tamko anifafanulie ..Naona wananivuruga tu.. Huyu Kepteni Silaa alipokuwa anaendesha chopa wakati wa kampeni za CCM mwaka 2015 alikuwa na miaka 12 au vipi? Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) acheni uboya na kutumikia wanasiasa nimewapa reference maana hamtumii akili kufanya mambo

Aliyeelewa hili tamko anifafanulie ..Naona wananivuruga tu..

Huyu Kepteni Silaa alipokuwa anaendesha chopa wakati wa kampeni za CCM mwaka 2015 alikuwa na miaka 12 au vipi? 

<a href="/officialtcaa/">Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)</a> acheni uboya na kutumikia wanasiasa nimewapa reference maana hamtumii akili kufanya mambo
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

#WCW fatma karume aka Shangazi 😍😍 I love me some Shangazi. Only weak men, would be intimidated and run scared of a strong black woman. Real men would appreciate & cherish one.

#WCW <a href="/fatma_karume/">fatma karume aka Shangazi</a> 😍😍 

I love me some Shangazi. Only weak men, would be intimidated and run scared of a strong black woman. Real men would appreciate &amp; cherish one.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

I just published Open Letter to jack Jack Dorsey — Founder and CEO of @Twitter link.medium.com/fcqHqNO1yab Please RT and share the open letter as widely as possible Twende kazi Twitter republic - mwambieni Jack akomeshe michezo ya kipumbavu inayoendelea humu kufungia akaunti!

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

"Even if all you did today were just getting up and able to go out of your house, you’re still doing better than a lot of people."

a moloo (@ntdworld) 's Twitter Profile Photo

Architect of World Health Organization (WHO)’s #leprosy elimination strategy bit.ly/3zoc7N1, Dr S.K Noordeen coordinated leprosy research from 1979-1984, leading to #MultiDrugTherapy & from 1994-1998 spearheaded WHO’s drive to eliminate leprosy as public health problem. May his soul rest in peace.

Architect of <a href="/WHO/">World Health Organization (WHO)</a>’s #leprosy elimination strategy bit.ly/3zoc7N1, Dr S.K Noordeen coordinated leprosy research from 1979-1984, leading to #MultiDrugTherapy &amp; from 1994-1998 spearheaded WHO’s drive to eliminate leprosy as public health problem. May his soul rest in peace.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

URGENT: I just joined over 3 MILLION people urging President of Tanzania Samia Suluhu to oppose the eviction of the Maasai people from their ancestral lands. Join here & RT #IStandwiththeMaasai fb.avaaz.org/campaign/en/st… SIGN NOW 💪🏽 #StopMaasaiEviction #StopMaasaiLandGrabbing

FreeLissu (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa offline lakini nimeambiwa kuna challenge haya Retweet kwa donkey like kwa Bao la mkono nishinde hii challange jaman msiniangushe

Nilikuwa offline lakini nimeambiwa kuna challenge haya
Retweet kwa donkey like kwa Bao la mkono nishinde hii challange jaman msiniangushe
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Naona Star TV wamemualika kwenye kipindi cha THE BIG AGENDA Afande Muliro peke yake. Upande wa wananchi hajaalikwa mtu ili kueleza hisia za umma dhidi ya Polisi. Mimi najipendekeza mwenyewe ninaomba kwenye hicho kipindi kesho nisimame kwa niaba ya wananchi. Retweet mpaka wasikie

Naona Star TV wamemualika kwenye kipindi cha THE BIG AGENDA Afande Muliro peke yake. Upande wa wananchi hajaalikwa mtu ili kueleza hisia za umma dhidi ya Polisi. Mimi najipendekeza mwenyewe ninaomba kwenye hicho kipindi kesho nisimame kwa niaba ya wananchi.

Retweet mpaka wasikie