UBAYA UBWELA (@jeopardize001) 's Twitter Profile
UBAYA UBWELA

@jeopardize001

an enterprising person determined to succeed:
Simba sc,ManUtd.die-hard fan.
Vitu vyangu ni biashara, siasa ,soka na Music🎵🎶

ID: 1543149370958381059

calendar_today02-07-2022 08:27:57

14,14K Tweet

299 Followers

223 Following

KANEGENE (@kaniginierick) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini Kanisa Katoliki linasema linawaombea marehemu WALIOUAWA WAKATI WA UCHAGUZI ? Ni habari inayokwepwa sana, ni kauli ambayo inaogopwa kusemwa katika kweli na uwazi. Askofu Lameck Msomba,OSA, wa Jimbo la Bagamoyo;ametoa ufafanuzi makini. Francis,Baraka Fundo,ArikooMarge

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Misa Takatifu ya kuwaombea waliouwawa na waliojeruhiwa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 | Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki Bagamoyo ikiongozwa na Askofu Stephano Lameck Musomba O.S.A “Tunaadhimisha misa hii nia zetu tatu, kwanza

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kutengeneza haki kwa kuua waTz. Huwezi kugeuza maumivu kuwa historia kwa hotuba yako bungeni. Kingine tunakwambia huwezi kuua ukweli kwa maneno ya kisiasa. Ukweli unahitaji kuwekwa wazi. Tunahitaji uwajibikaji Na Taifa linahitaji kumbukumbu rasmi #Mo29 sio hizo ngojera.

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kama huu wingi wa maiti kwenye mochwari moja tu pale Mwananyamala, hali ilikuwaje kwenye mochwari zote? Tunaona sasa sababu ya MTUKUFU Samia Suluhu aliagiza maiti zisombwe kwa siri zikatupwe? Tunaona sababu ya kufunga mitandao na onyo la kusambaza picha?

UBAYA UBWELA (@jeopardize001) 's Twitter Profile Photo

Nchi inaongozwa na watu wake sio walafi wa madaraka kama unao waongoza hawataki usilazimishe vile unataka nchi si familia yako Serikali inayopuuza raia hutumia risasi kutisha round hii uoga unabei kubwa hatuna pesa ya kununua D9 ni uwajibikaji

UBAYA UBWELA (@jeopardize001) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio aliyoiita tume huru,haya ni maelekezo aliyotoa kwa tume yake. Utawala wako uue raia jumba bovu waangushiwe wengine tumejifunza umuhimu wa elimu na namna ya elimu inavyopaswa kupewa kipaumbele kwa mstakabali wa kuepusha mauaji.

Hii ndio aliyoiita tume huru,haya ni maelekezo aliyotoa kwa tume yake.
Utawala wako uue raia jumba bovu waangushiwe wengine tumejifunza umuhimu wa elimu na namna ya elimu inavyopaswa kupewa kipaumbele kwa mstakabali wa kuepusha mauaji.
UBAYA UBWELA (@jeopardize001) 's Twitter Profile Photo

Oa mwanamke ambae upepo wake wa kiuchumi kwako ni daraja la mafanikio usioe mpinzani wako utaishi kikapuku hakuna utakacho fanya kikawa na mafanikio.Kama awali maisha yalikuwa safi baada ya kuoa au kuhusiana mambo mabaya mpe break yakirudi kuwa mazuri piga chini huyo mpinzani.

Larry Madowo (@larrymadowo) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: 17 Western countries ask the Tanzanian government to “urgently release all the bodies of the dead to their families, to further release all political prisoners.” Tanzania silenced the local media to hide this but we kept reporting and the world is paying attention

Israel in Kenya (@israelinkenya) 's Twitter Profile Photo

Tanzania travel advice following demonstrations and widespread public disturbances Following the events around the elections held in Tanzania on 29 October 2025, which led to violent demonstrations and widespread public disturbances, to the shutdown of the internet network, and

UBAYA UBWELA (@jeopardize001) 's Twitter Profile Photo

Vitu achukiavyo Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ni chukizo kwake ni -Macho ya kiburi, ulimi mdanganyifu, mikono inayoua wasio na hatia, Moyo unaopanga mipango miovu, Miguu iliyo mbioni kutenda maovu, Shahidi wa uongo abubujikaye uongo. na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.

January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko, kokote yalikotokea, yalidaiwa na kuongozwa na vijana. Vijana wa Tanzania washike usukani wa kuleta mabadiliko wanayoyataka.