TITAN
@jaytemutz
BORN AGAIN π
ID: 1395333119289536515
20-05-2021 10:59:00
2,2K Tweet
465 Followers
3,3K Following
Kuna jamaa ameamua kuvunja mahusiano yake ya miaka 4 na demu wake kisa kunyimwa mali takriban miaka miwili mfululu kisa demu anataka kutengeneza mahusiano na Mungu. Jamaa kazingiua ama kapatia? Nimeshindwa kutoa ushauri wazee Adventure-360