Gari limejaa dereva hataki kuondoka anataka lijae zaidi, wababa wamemjia juu wanamwambia "Toa gari au tuje kukutoa wewe, watu tuna leseni humu" huyu mwingine akasema Haina haja ya kumtoa huyu ni wa kumpiga aendeshe huku analia"
Aaanh ila watanzania.πππππ