
Janeth Rithe
@janerithe
National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo
ID: 1025069839340195840
02-08-2018 17:24:29
5,5K Tweet
4,4K Followers
240 Following

Watu hawakutaki Samia Suluhu kwa nini mwenge umeweka nembo yako? kwanza huu moto mngeweka makumbusho ya Taifa anayetaka aje huko aangalie huko unakozunguka hauna Faida yoyote zaidi ya wahuni kula hela za kodi zetu.