NTELE
@wisemanntele
Our Lives Begin To End the Day We Become Silent About Things That Matter! | I'm Because We Are. #KatibaMpya Enthusiast, #KeepItOn.
ID: 2967298624
08-01-2015 04:51:57
205,205K Tweet
8,8K Takipçi
685 Takip Edilen
"ONYO kwa SASHA na Jeshi lako: Kuandamana sio kosa linalowarrant kupigwa risasi na kuuwawa. Nakukumbusha: damu zitakazomwagika zitakuwa juu yako. Hatuwezi kuishi kwa hofu ktk Taifa letu. You've claimed lots of blood. Imetosha. Urais wako sio muhimu zaidi ya uhai." Tito Magoti
Mhe. Tundu Antiphas Lissu amekamatwa na polisi nyumbani kwake Tegeta, msafara wa magari 11 umeondoka muda huu wamekataa kusema kituo wanachompeleka
Tupatane Ilala🔥🔥 CHADEMA Tanzania #FREESOKA
Jeshi la Polisi limemzuia Dr. Lilian Mtei, Mke wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa anatoka nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Mhe. Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 23, 2024 alipofika katika eneo hilo kuongoza maandamano ya amani.
Dr.Lilian Mtei (Mke wa Freeman Mbowe) na mwanae Nicole Mbowe wameachiwa huru, baada ya Mawakili wa Chadema wakiongozwa na Peter Kibatala kufika kituo cha Polisi Oysterbay na kuhoji sababu za kukamatwa kwao.
Alichosema Mhe. Freeman Mbowe na Godbless E.J. Lema mara baada ya kuachiwa huru
Ismail Jussa Siasa za 2010- 2015 zilikua za hoja watu walikosoa kwa hoja wakajibiwa kwa hoja na hatua zilichukukiwa angalau kwa usawa. Siasa za 2016 hadi sasa Hoja zinajibiwa kwa rungu, vitisho, kesi, kufilisiwa kupotezwa na hata vifo. Kukabiliana na mazingira haya lazma ujikane nafsi yako.
The Guardian wanasema kwamba Tigo Tanzania walitoa data na locations za Mhe. Tundu Antiphas Lissu kwa Serikali ya Magufuli kabla hajapigwa risasi. Ushahidi huo umetolewa na Michael Clifford, afisa wa zamani wa polisi, Metropolitan katika Mahakama ya London. theguardian.com/world/2024/sep…
"Waliomo madarakani wanaipaka matope nchi yetu na kuonajisi hadhi yake. Wanatutangaza kama watekaji na wauwaji, wezi, waporaji na majambazi ndio wanaiendesha nchi ya Kambarage. Hawa ni watu haramu." Jenerali Ulimwengu
“Paulo Makonda ndio aliongoza kikosi ambacho kilinipiga risasi” -; Tundu Antiphas Lissu
"Waliotaka kuniua walishilikiana na Tigo"-; Mh. Tundu Antiphas Lissu