Paul Advocate100 (@paul_c9) 's Twitter Profile
Paul Advocate100

@paul_c9

God's first

ID: 2717872631

linkhttp://Pcimpoandy.co.tz calendar_today19-07-2014 15:45:19

1,1K Tweet

245 Takipçi

653 Takip Edilen

Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Tito Magoti, Human rights lawyer: The East Africa community needs a new dawn where our voices are heard. In Tanzania, the situation is alarming. As citizens we need to go to the streets and ensure that we retain our position in the governance of the country #CitizenWeekend

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi.

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

I know how strong you are. You’ll come back braver than yesterday 100 times better, with a heart full of love and a soul that never gave up. We’re here waiting, praying, and believing. Daniel chonchorio Nyamohanga 🫶

I know how strong you are. You’ll come back braver than yesterday 100 times better, with a heart full of love and a soul that never gave up. We’re here waiting, praying, and believing. <a href="/chonchorio99033/">Daniel chonchorio Nyamohanga</a> 🫶
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

VIDEO HII ILIYOWEKWA NA CHOMBO CHA HABARI The Chanzo hapa X na Youtube imetolewa. Bila shaka ni MAELEKEZO kutoka JUU maana ndio ambao hawataki Kusikia habari za UTEKAJI. Sasa kwakuwa Mimi bado ninayo na Sitegemei TCRA wala MPUMBAVU yeyote kuishi naiweka TENA HAPA. NAOMBA

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost 🤞 Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike Repost 🙌

Ukiona mtu amepost hili neno haijalishi mna ugomvi au chuki wewe Repost ...Repost 🤞 

Tumeamua njia hi nisahihi sisi kupata madiliko ujumbe ufike 

Repost 🙌
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Nimekukumbuka sana, Danny. Mambo mengi yamebadilika bila uwepo wako. Kila kitu kinaonekana tupu. Sijui hata nisali sala ipi ambayo Mungu ataipokea kwa haraka ili urudi salama. Miezi mitatu bila wewe… kweli ni ngumu. Wakati ambapo hatukuwa tunapitisha hata masaa bila kuongea sasa

Nimekukumbuka sana, Danny. Mambo mengi yamebadilika bila uwepo wako. Kila kitu kinaonekana tupu. Sijui hata nisali sala ipi ambayo Mungu ataipokea kwa haraka ili urudi salama. Miezi mitatu bila wewe… kweli ni ngumu. Wakati ambapo hatukuwa tunapitisha hata masaa bila kuongea sasa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jana kwenye kipindi cha DIRA YA DUNIA BBC News Swahili ilifunguliwa na “TAARIFA KUU” ambayo inahusu UTEKAJI unaoendelea Tanzania. Sote tunajua STAR TV ndio TV pekee inayorusha matangazo haya ya DIRA YA DUNIA hapa Tanzania. Jana kwenye matangazo yao ya DIRA YA DUNIA hawakurusha

#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Today marks 6 months since Daniel went missing under mysterious circumstances. Ya Rab, we place him in Your hands. Protect him, strengthen him wherever he is, and in Your mercy, bring him back home to us safely. Ameen🤲🏻🤲🏻

Mtotomwema (@saudashaba6437) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai Police Force TZ 𝙰𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚢𝚎 𝚜𝚊𝚕𝚊𝚖𝚊 𝚄𝚝𝚊𝚠𝚊𝚕𝚊 𝚠𝚊 𝚜𝚑𝚎𝚝𝚊𝚗𝚒 𝚑𝚞𝚞 𝙿𝚘𝚕𝚒𝚜𝚒 𝚖𝚗𝚊𝚔𝚞𝚋𝚊𝚕𝚒 𝚔𝚞𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚍𝚞𝚐𝚞 𝚣𝚎𝚗𝚞 𝚔𝚒𝚜𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚎 𝚗𝚞𝚜𝚞

Paul Advocate100 (@paul_c9) 's Twitter Profile Photo

🚨 Please help! Tag Elon Musk Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech

🚨 Please help!
Tag <a href="/elonmusk/">Elon Musk</a> <a href="/Support/">Support</a> to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender &amp; victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Paul Advocate100 (@paul_c9) 's Twitter Profile Photo

Hivi do you Think mnaaminika tena?, Af hii ni Page ya Umma kwanini mnafiunga Comments? Step back af mjitathimini msitumike na wanasiasa kipuuzi

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo tutahakikisha dunia inajua huu uonevu wa Mafwele! Repost, share, paza sauti 🗣️ #FreeKiduku #FreeFridaMikoroti #FreeFarida #FreeIsaka

Leo tutahakikisha dunia inajua huu uonevu wa Mafwele! 

Repost, share, paza sauti 🗣️

#FreeKiduku  
#FreeFridaMikoroti #FreeFarida  
#FreeIsaka
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI. Juzi RPC wa Mkoa wa Mbeya alitangaza kupitia vyombo vya Habari kwamba Jeshi hilo limewauwa watuhumiwa watatu wakati wakijaribu kuwakimbia Polisi. Watuhumiwa hao ni Marwa Nyahende, Edward Kayuni na Websta Mwantebele lakin ukweli ni kwamba hao