Jones (@onealworld) 's Twitter Profile
Jones

@onealworld

ID: 127877390

calendar_today30-03-2010 14:13:12

982 Tweet

144 Takipçi

389 Takip Edilen

Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana wakili Msomi Nashon Nkungu na Jopo la mawakili wa Utetezi, kwa kuipeleka mahakama mapumziko sisi tunataka majibu hapo mahakamani sio Kila kitu mtu hajui.

Hongera sana  wakili Msomi Nashon Nkungu na Jopo la mawakili wa Utetezi, kwa kuipeleka mahakama mapumziko sisi tunataka majibu hapo mahakamani sio Kila kitu mtu hajui.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Makofi na retweets nyingiii saba kwa Adv. Nashon Nkungu •Advocate of the High Court & other subordinate courts. •Postgraduate diploma in Legal Practice •Bachelor of Laws (LLB - Hons) (University of Iringa – formerly Tumaini University, Iringa). Mobile: +255 782 040 948

Makofi na retweets nyingiii saba kwa Adv. Nashon Nkungu

•Advocate of the High Court & other subordinate courts.

•Postgraduate diploma in Legal Practice 

•Bachelor of Laws (LLB - Hons) (University of Iringa – formerly Tumaini University, Iringa).

Mobile: +255 782 040 948
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Retweets nyingi sana kwa Adv. Dickson Matata, anaketi sasa.. Mzumbe University, LL.B Civil & Criminal litigations, Corporate matters, Debt collection, Family matters, drafting of various Legal documents, and Registrations of various entities. Follow 👉🏾 Adv. Dickson Matata 0716 705 485

Retweets nyingi sana kwa Adv. Dickson Matata, anaketi sasa.. 

Mzumbe University, LL.B

Civil & Criminal litigations, Corporate matters, Debt collection, Family matters, drafting of various Legal documents, and Registrations of various entities.

Follow 👉🏾 <a href="/AdvMatata/">Adv. Dickson Matata</a> 0716 705 485
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Najua jina linaweza kushtua 👉🏽Kinenula MadavaJr 😂😂 ila usiwe na shaka lakini na mimi nimem-follow - anaRT na ku-comment very sober na mtetezi wa Haki, utawala wa sheria #KatibaMpya Usiache kum follow 👈🏾👈🏾

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MMM na Adv. Peter Kibatala, the other day! Wakili Kibatala kaamua kucheza ipasavyo na shahidi wa mchongo (homeboy, Luteni Denis Urio) perpendicular. Sasa tunampa RETWEETS ngapi kuonyesha tunamkubali Adv. Peter Kibatala kwa kazi ya kuwatetea Freeman Mbowe na wenzake? Let’s GO!

MMM na Adv. Peter Kibatala, the other day!

Wakili Kibatala kaamua kucheza ipasavyo na shahidi wa mchongo (homeboy, Luteni Denis Urio) perpendicular.

Sasa tunampa RETWEETS ngapi kuonyesha tunamkubali Adv. Peter Kibatala kwa kazi ya kuwatetea Freeman Mbowe na wenzake?

Let’s GO!
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Adv. Peter Kibatala, akipunga upepo nje ya mahakama. Tumpe pongezi nyingii sana na tumwage RETWEETS nyingiiiiii sana; nitamuonyesha huo upendo. Hiyo ni salamu yetu kwake, haswaa watu ambao hamjapata nafasi ya kufika mahakamani kumshuhudia mwamba huyu. Let’s go!

Adv. Peter Kibatala, akipunga upepo nje ya mahakama.

Tumpe pongezi nyingii sana na tumwage RETWEETS nyingiiiiii sana; nitamuonyesha huo upendo. Hiyo ni salamu yetu kwake, haswaa watu ambao hamjapata nafasi ya kufika mahakamani kumshuhudia mwamba huyu. 

Let’s go!
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

DONATIONS TO SUPPORT MR. FREEMAN MBOWE LAWYERS gofundme.com/f/SupportFreem… Haya kwa wale wenye kadi ya benki including diaspora muda ni huu kuchanga Kumbukeni unaweza kufanya donation anonymously pia Share widely 💪🏽💪🏽 we can do this!

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mtazame kijana huyu wa kitanzania akisimulia alivyokamatwa na kuteswa na genge la ACP Ramadhan Kingai ambaye sasa ni RPC wa Kinondoni. Kama kweli Samia Suluhu⁩ na ⁦Kassim Majaliwa Majaliwa⁩ wanataka kumaliza tatizo, iundwe tume huru ya kumaliza tatizo hili sugu.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ahsante. Nashukuru. Mungu akubariki. Lakini followers wangu 352k ni robo tu wapo active, wengi ni inoperative. Nimeumizwa sana leo, lakini nitaendelea kuwa imara, na ninyi msichoke. Hizi harakati zinawahitaji ninyi (umma) zaidi kuliko sisi volunteer ambao ni wachache sana.

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Yaabi nime RT yweet za Taifa Gas tena za ajira ili watu waone wengi wajaribu bahati yao DALALI kaviringisha majungu kuwa Taifa Gas ndiyo wananifund blah blah Yaani yule jamaa takataka sana! Yaani RTs zimeleta nongwa kubwa sana! Nasubiri na Zuhura wa Ikulu naye atoe tamko maana

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Tukiwaambia January na Maharage ni disaster hamsikii!.. Haya ndiyo mambo wanafanyia watanzania wanaongezewa madehi kwenye bills zao bila wao kujua hayo madeni yanatoka wapi.. Uongozi si kwa ajili ya kila mtu! Kuna wengine walitakiwa wasalie kuwa wapiga dufu tu lakini wanakuwa

Tukiwaambia January na Maharage ni disaster hamsikii!..  Haya ndiyo mambo wanafanyia watanzania wanaongezewa madehi kwenye bills zao bila wao kujua hayo madeni yanatoka wapi..

Uongozi si kwa ajili ya kila mtu! Kuna wengine walitakiwa wasalie kuwa wapiga dufu tu lakini wanakuwa
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mliojivunia Samia Suluhu kuwa rais kwa sababu ni 👉🏽 mwanamke 👉🏽mzanzibari 👉🏽 mwislamu na si kwa sababu alistahili na ana uwezo kama kiongozi; Mjiandae kupokea lawama kuwa kutokana na utendaji mbovu wa Samia wafuatao hawafai uongozi 👉🏽wanawake 👉🏽 wazanzibari 👉🏽 waislamu Hizi

Mliojivunia <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> kuwa rais kwa sababu ni 
👉🏽 mwanamke
👉🏽mzanzibari
👉🏽 mwislamu 
na si kwa sababu alistahili na ana uwezo kama kiongozi;
Mjiandae kupokea lawama kuwa kutokana na utendaji mbovu wa Samia wafuatao hawafai uongozi
👉🏽wanawake
👉🏽 wazanzibari
👉🏽 waislamu
Hizi
Jones (@onealworld) 's Twitter Profile Photo

This is very stupid and I think these people from the government do not know what they are doing. How many will they shut down?