Michael Mundanda (@michaelmundanda) 's Twitter Profile
Michael Mundanda

@michaelmundanda

ID: 1266214575013277696

calendar_today29-05-2020 03:49:28

672 Tweet

102 Takipçi

691 Takip Edilen

Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Gari top speed ni 240/260km/hr na acceleration rate ni wasitani wa 0-100 km/h ndani ya sekunde 7-9.. . Gari mafuta matumizi sio mabaya kwa engine zote zinaenda wasitani wa 8.4 – 8.2 L/100 km, hii ni kama 10-12Km/L.. . Ukilinganisha performance inayokupa na mafuta inakula vizuri..

Gari top speed ni 240/260km/hr na acceleration rate ni wasitani wa 0-100 km/h ndani ya sekunde 7-9..
.
Gari mafuta matumizi sio mabaya kwa engine zote zinaenda wasitani wa 8.4 – 8.2 L/100 km, hii ni kama 10-12Km/L..
.
Ukilinganisha performance inayokupa na mafuta inakula vizuri..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Engine inayokua recommended na nzuri ni Petrol engine 2.5 L M54/N52 6 cylinder.. . Na hata ukiangalia Nyingi ndo ziko Japan hata vipuri kidogo bei imepoa.. . Hili nakupa kama angalizo sababu Japan kidogo parts zinakua bei nzuri tofauti na German..

Engine inayokua recommended na nzuri ni Petrol engine 2.5 L M54/N52 6 cylinder..
.
Na hata ukiangalia Nyingi ndo ziko Japan hata vipuri kidogo bei imepoa..
.
Hili nakupa kama angalizo sababu Japan kidogo parts zinakua bei nzuri tofauti na German..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Engine [2.5L] inakupa nguvu na speed nzuri ila kama unataka nguvu zaidi itabidi utumie Engine kubwa ya 3.0L M54/N52 6 cylinder.. . Kuhusu Petrol au Diesel hapa ni wewe ila weka akilini kwamba Diesel engine inakupa nguvu na mileage kubwa kwenye mafuta ila ni gharama kuitunza..

Engine [2.5L] inakupa nguvu na speed nzuri ila kama unataka nguvu zaidi itabidi utumie Engine kubwa ya 3.0L M54/N52 6 cylinder..
.
Kuhusu Petrol au Diesel hapa ni wewe ila weka akilini kwamba Diesel engine inakupa nguvu na mileage kubwa kwenye mafuta ila ni gharama kuitunza..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Wakati Petrol ni nyepesi [Inachanganya faster] na its a bit cheap kuimaintain.. . Ile Engine ndogo [2.0L] sio recommended sana na gari nyingi hata Japan hazina hii engine ndogo.. . Wataalamu wanasema nguvu yake ya engine [148HP] na uzito wa gari [1825Kg] haujakaa proportional..

Wakati Petrol ni nyepesi [Inachanganya faster] na its a bit cheap kuimaintain..
.
Ile Engine ndogo [2.0L] sio recommended sana na gari nyingi hata Japan hazina hii engine ndogo..
.
Wataalamu wanasema nguvu yake ya engine [148HP] na uzito wa gari [1825Kg] haujakaa proportional..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Yani kuna time inakua kama engine ina struggle kusukuma gari.. . Lugha rahisi ni kama wanasema mtoto amepewa mzigo mkubwa hivyo atawahi kuchoka.. . Sasa ukiona BMW X3 imekua coded si inamaanisha hiyo engine iliyoko ndani ni Petrol engine lakini ni more powerful unlike others..

Yani kuna time inakua kama engine ina struggle kusukuma gari..
.
Lugha rahisi ni kama wanasema mtoto amepewa mzigo mkubwa hivyo atawahi kuchoka..
.
Sasa ukiona BMW X3 imekua coded si inamaanisha hiyo engine iliyoko ndani ni Petrol engine lakini ni more powerful unlike others..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Mfano 2.5i ina hp 189 Wakati the same engine ya 2.5si ina hp 215, Ukija kwa 3.0i ana hp 228 wakati 3.0si ana hp 268.. . X3 ndani iko poa sana very stylish dashboard yake ni ya kibabe sana ikiwa na option za kutosha.. . Unakuta options kama USB Charging Ports, Heads-up Display 👇

Mfano 2.5i ina hp 189 Wakati the same engine ya 2.5si ina hp 215, Ukija kwa 3.0i ana hp 228 wakati 3.0si ana hp 268..
.
X3 ndani iko poa sana very stylish dashboard yake ni ya kibabe sana ikiwa na option za kutosha..
.
Unakuta options kama USB Charging Ports, Heads-up Display 👇
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Panoramic Sunroof, heated seats, Sports Suspension, Bluetooth Connectivity na options kibao. . Ukija kwenye issue ya space ipo ya kutosha ku accomodate watu wazima 5. . Row ya mbele legroom ipo ya kutosha na seats unaweza kuzi adjust itakavyokupendeza, second row nayo iko poa.

Panoramic Sunroof, heated seats, Sports Suspension, Bluetooth Connectivity na options kibao.
.
Ukija kwenye issue ya  space ipo  ya kutosha ku accomodate watu wazima 5.
.
Row ya mbele legroom ipo ya kutosha na seats unaweza kuzi adjust itakavyokupendeza, second row nayo iko poa.
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Ndani hata watu wenye miguu mirefu wanakaa vizuri tu [comfortable].. . Ukija kwenye Boot nako space ni kubwa tu inabeba mzigo wa kifamilia wa kutosha.. . Kama unazipenda hizi gari na mfuko uko vizuri basi kuanzia 2006 ndo ziko poa zaidi as hapa ndo walifanya maboresho makubwa..

Ndani hata watu wenye miguu mirefu wanakaa vizuri tu [comfortable]..
.
Ukija kwenye Boot nako space ni kubwa tu inabeba mzigo wa kifamilia wa kutosha..
.
Kama unazipenda hizi gari na mfuko uko vizuri basi kuanzia 2006 ndo ziko poa zaidi as hapa ndo walifanya maboresho makubwa..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

2006 gari ilipata facelift na taa za mbele [headlights] zikawa revised.. . Maboresho yakafanyika kwenye grille, front bumper, tail lights, rear bumper, na interios.. . Gari ikapewa Adaptive headlamps [Hizi inazi direct kwa button zimulike wapi] na panoramic sunroof ikawekwa 👇..

2006 gari ilipata facelift na taa za mbele [headlights] zikawa revised..
.
Maboresho yakafanyika kwenye grille, front bumper, tail lights, rear bumper, na interios..
.
Gari ikapewa Adaptive headlamps [Hizi inazi direct kwa button zimulike wapi] na panoramic sunroof ikawekwa 👇..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Dashboard ikawa upgraded na seats wakaweka leather na Jiko likaboreshwa.. . Inshort ukiangalia X3 ya 2003-2006 na 2006-2010 ni kama generation 2 tofauti ila ni generation 1.. . Kwa maintenance gharama zimechangamka kidogo kumbuka huyu ni mu German Parts bei iko juu..

Dashboard ikawa upgraded na seats wakaweka leather na Jiko likaboreshwa..
.
Inshort ukiangalia X3 ya 2003-2006 na 2006-2010 ni kama generation 2 tofauti ila ni generation 1..
.
Kwa maintenance gharama zimechangamka kidogo kumbuka huyu ni mu German Parts bei iko juu..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Gari inahitaji service za wataalamu sio za chini ya Mwembe kwa fundi Michael. . Sio unamuangalia fundi na gari anayotengeneza plus mazingira unajua kabisa hii gari hapa haiponi. . Hapa uende kwa wataalamu wa Bimmer ndo waishike gari, peleka Aghakan huko Mwananyama tuachie sisi.

Gari inahitaji service za wataalamu sio za chini ya Mwembe kwa fundi Michael.
.
Sio unamuangalia fundi na gari anayotengeneza plus mazingira unajua kabisa hii gari hapa haiponi.
.
Hapa uende kwa wataalamu wa Bimmer ndo waishike gari, peleka Aghakan huko Mwananyama tuachie sisi.
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Kama unapenda speed sana katika hii generation kuna BMW M Sport Version.. . Hii iko faster zaidi na imepewa option zaidi za Kisport na muonekano wa Kisport zaidi[body kits installed].. . Na ukibofya Sport model anachanganya faster sana kuliko wenzake ukitaka kumjua 👇..

Kama unapenda speed sana katika hii generation kuna BMW M Sport Version..
.
Hii iko faster zaidi na imepewa option zaidi za Kisport na muonekano wa Kisport zaidi[body kits installed]..
.
Na ukibofya Sport model anachanganya faster sana kuliko wenzake ukitaka kumjua 👇..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Utakuta ana vimstari vitatu[ligh blue,blue na red] kwenye badge mbele au nyuma na ka i.. . Matatizo common ya X3 ni Engine oil leaks ikisababishwa na kuchoka kwa valve cover gaskets au cracks.. . Zenye sunroof zina tabia ya kuvuja [kupitisha maji] sunroof ikianza kuchoka..

Utakuta ana vimstari vitatu[ligh blue,blue na red] kwenye badge mbele au nyuma na ka i..
.
Matatizo common ya X3 ni Engine oil leaks ikisababishwa na kuchoka kwa valve cover gaskets au cracks..
.
Zenye sunroof zina tabia ya kuvuja [kupitisha maji] sunroof ikianza kuchoka..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Timing chain yake ni ya chuma ila iko guided na plastic material ambazo zinatabia ya kupasuka.. . Ikitokea hii chain inaweza toka na ikasababisha damage kwa engine.. . Pia zina tabia ya kuua window regulator ambayo inasababisha kushindwa kupandisha au kushusha kioo..

Timing chain yake ni ya chuma ila iko guided na plastic material ambazo zinatabia ya kupasuka..
.
Ikitokea hii chain inaweza toka na ikasababisha damage kwa engine..
.
Pia zina tabia ya kuua window regulator ambayo inasababisha kushindwa kupandisha au kushusha kioo..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Mwisho katika mfumo wake wa upozaji napo kuwa makini kwa kutumia coolant sahihi na thermostat iwe sawa gari isije anza kuchemsha.. . Hii gari ni nzuri ila inahitaji matunzo mazuri na matunzo yake ni gharama kama haujajipanga vizuri [uchumi haujakaa level] sio gari ya kununua..

Mwisho katika mfumo wake wa upozaji napo kuwa makini kwa kutumia coolant sahihi na thermostat iwe sawa gari isije anza kuchemsha..
.
Hii gari ni nzuri ila inahitaji matunzo mazuri na matunzo yake ni gharama kama haujajipanga vizuri [uchumi haujakaa level]  sio gari ya kununua..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Naweza sema it is relatively one of the expensive car to maintain. . BMW X3 generation hii kuagiza kwa sasa price range ni Tsh 20-25-35M depends na condition ya gari plus mwaka wa Matengenezo. . Kama unahitaji either Kuagiza au Kununua hapa nchini tunaweza kuku assist onthe same.

Naweza sema it is relatively one of the expensive car to maintain.
.
BMW X3 generation hii kuagiza kwa sasa price range ni Tsh 20-25-35M depends na condition ya gari plus mwaka wa Matengenezo.
.
Kama unahitaji either Kuagiza au Kununua hapa nchini tunaweza kuku assist onthe same.
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Tuko na network ya trusted dealers kwa hapa nchini na UK/Japan wanaotupa gari zenye ubora wa Juu.. . Simply tupigie au bofya link njoo WhatsApp na tutakupa gari sahihi kwa bei nzuri.. . Na tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama unaojali muda wako..

Tuko na network ya trusted dealers kwa hapa nchini na UK/Japan wanaotupa gari zenye ubora wa Juu..
.
Simply tupigie au bofya link njoo WhatsApp na tutakupa gari sahihi kwa bei nzuri..
.
Na tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama unaojali muda wako..
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Ni matumaini yangu umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau Ku RETWEET ili na wadau wengine wapate haya Madini.. . Kama hujatufollow basi hujachelewa gonga follow chap ili next time usipitwe na madini kama haya.. . Na kama unahitaji ushauri wowote njoo WhatsApp.. . Asante

Ni matumaini yangu umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau Ku RETWEET ili na wadau wengine wapate haya Madini..
.
Kama hujatufollow basi hujachelewa gonga follow chap ili next time usipitwe na madini kama haya..
.
Na kama unahitaji ushauri wowote njoo WhatsApp..
.
Asante
Mayunda mayunda (@mayundao) 's Twitter Profile Photo

WATOTO WAMEPOTEA JANA MIDA YA SAA KUMI ALASIRI TUNAOMBA MSAADA KWA WATU WOTE NI WAKAZI WA YOMBO BAKWATA DAR ESS SALAAM.. MMOJA ANAITWA. HAIMAN WA KIUME NA RAIANI WA KIKE NAMBA ZA WAZAZI WAO 0713707716.. BABA.... 0688 847 443 MAMA. goligani Fortunatus Buyobe Malkia Nyuki 👑 @alikomaster

WATOTO WAMEPOTEA JANA MIDA YA SAA KUMI ALASIRI TUNAOMBA MSAADA KWA WATU WOTE NI WAKAZI WA YOMBO BAKWATA DAR ESS SALAAM.. MMOJA ANAITWA. HAIMAN WA KIUME NA RAIANI WA KIKE NAMBA ZA WAZAZI WAO 0713707716.. BABA.... 0688 847 443 MAMA. <a href="/goligani/">goligani</a> <a href="/fbuyobe/">Fortunatus Buyobe</a> <a href="/nyuki_malkia/">Malkia Nyuki 👑</a> @alikomaster
Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Repost for others na Kama hujatufollow, gonga follow sasa ili usipitwe na madini next time.. . Na kuwa karibu na huduma zetu save this number 0714547598 [Samatime magari].. . Share Jina lako na unakopatikana we will save YOU pia na utakua na access na huduma za ushauri bure. .

Repost for others na Kama hujatufollow, gonga follow sasa ili usipitwe na madini next time..
.
Na kuwa karibu na huduma zetu save this number 0714547598 [Samatime magari]..
.
Share Jina lako na unakopatikana we will save YOU pia na utakua na access na huduma za ushauri bure.
.