MUSHONGI (@mchumieconomis1) 's Twitter Profile
MUSHONGI

@mchumieconomis1

MUSHONGI is experienced professional in Agribusiness and Enterprise development, focusing on fortifying business enterprises' resilience and overall performance

ID: 2583920783

linkhttps://www.maarifashop.blogspot.com calendar_today05-06-2014 09:21:37

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Kauli ya Baba, Rev.Dr.Charles Kitima (PhD), Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu nchini (TEC). Hakikisha unashirikisha "medula oblangata" ili kumuelewa vizuri. Kama hukupata chanjo ya pepopunda utotoni rudia kusikiliza mara 3 vinginevyo hutamuelewa. Roma locuta, causa finita est.!

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

VITU 10 AMBAVYO WENGI WANAJIFUNZA KWA KUCHELEWA: 1. Usifirisike kwa kuwathibitishia watu kuwa una hela. 2. Tunza hela itakuja kukutunza baadae. 3. Maisha yako ya baadae yapo mikononi mwako mwenyewe. 4. Gharama ya kuwa na marafiki wengi ni kurithi matatizo yao, wapunguze. 5.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wamekaa kazini miaka 10, hawajawahi kuwa na uhuru wa kifedha hata kwa mwezi mmoja. Unaweza ukawa unapata 500K kwa mwezi lakini mindset yako ni ya mtu wa 50K. Hela haitoshi kwa mtu asiyejua anachotafuta. Usiache kufuatilia matumizi yako.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Leo tumefanya mikutano mitano, tumehutubia maelfu ya Watanzania. Katibu mkuu wetu amefanya mikutano mitatu jumla mikutano nane kwenye wilaya zote za Geita. Wananchi wanaunga mkono #NoReformsNoElection kwa nguvu zote. Asante Mkoa wa Geita hodi hodi Mwanza.

Leo tumefanya mikutano mitano, tumehutubia maelfu ya Watanzania. Katibu mkuu wetu amefanya mikutano mitatu jumla mikutano nane kwenye wilaya zote za Geita.

Wananchi wanaunga mkono #NoReformsNoElection kwa nguvu zote.

Asante Mkoa wa Geita hodi hodi Mwanza.
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanajua umuhimu wa nishati ya ngono, ila wanashindwa ni kwa namna gani wanaweza kuivuna nishati hii muhimu na ikawasaidia katika safari yao ya kiroho. Ninyi wenyewe ni mashahidi, hata watu wa dini wanaojifanya ni watu wa watakatifu kuliko watu wengine, nao wameshindwa

Watu wengi wanajua umuhimu wa nishati ya ngono, ila wanashindwa ni kwa namna gani wanaweza kuivuna nishati hii muhimu na ikawasaidia katika safari yao ya kiroho.

Ninyi wenyewe ni mashahidi, hata watu wa dini wanaojifanya ni watu wa watakatifu kuliko watu wengine, nao wameshindwa
Salekwa Jr. (@salekwaj) 's Twitter Profile Photo

Matumaini ya Kikristo hayategemei hali za nje, bali yanajengwa kwa: Upendo unaomkaribisha Mungu, Amani ya Kristo isiyoyumbishwa na matatizo, Umoja wa Kanisa unaojengwa kwa hekima na huruma, tukijishikamanisha na Roho Mtakatifu anayetuongoza kila siku. Tutembee ktk Tumaini hili!

Matumaini ya Kikristo hayategemei hali za nje, bali yanajengwa kwa: Upendo unaomkaribisha Mungu, Amani ya Kristo isiyoyumbishwa na matatizo, Umoja wa Kanisa unaojengwa kwa hekima na huruma, tukijishikamanisha na Roho Mtakatifu anayetuongoza kila siku. Tutembee ktk Tumaini hili!
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Financial literacy ni muhimu sana kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi. Just imagine kijana ana make deal anapata 1 Billion Tsh , ananunua G Wagon 700M na so other liabilities. Mwingine , the same amount of money ananua hisa/bond , let’s say appreciation yake ni 12% kwa

Financial literacy ni muhimu sana kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi. Just imagine kijana ana make deal anapata 1 Billion Tsh , ananunua G Wagon 700M na so other liabilities. Mwingine , the same amount of money ananua hisa/bond , let’s say appreciation yake ni 12% kwa
Oslo Freedom Forum (OFF) (@osloff) 's Twitter Profile Photo

"Tanzania belongs to its people and not to those who terrorize them." Maria Sarungi Tsehai calls for accountability against the Hassan regime, exposing their chilling pattern of abductions amongst those speaking out.

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Biashara nyingi hufa mapema sababu ya matarajio makubwa na faida kubwa mwanzoni. Ukweli ni huu 1. Biashara huchukua muda kujijenga 2. Wateja hukuchunguza kwanza kabla ya kukuamini 3. Bidhaa yako inahitaji muda wa kujitangaza 4. Misimu ya kukosa mauzo si mwisho, ni sehemu ya safar

Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

NGUVU NA AKILI, TUBOMOE AU TUJENGE? Askofu Benson Bagonza (PhD) Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho” Na wana mikesha wakaimba, “Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”. Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9: “HERI WAPATANISHI MAANA HAO

NGUVU NA AKILI, TUBOMOE AU TUJENGE?

Askofu Benson Bagonza (PhD)

Kuna mwimbaji aliimba, 

“Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho”
Na wana mikesha wakaimba,
“Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”.

Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9:

“HERI WAPATANISHI MAANA HAO
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

1). Wamezima Telegram 2). Wamezima X Soon Wanafika—Instagram, Facebook & WhatsApp—Just a Matter of time Maana yake Wale Wote waliojiajiri Online—Wanageuka Ma-JOBLESS And…NOBODY Cares! Tuna VIONGOZI wa Ajabu na Very Selfish!

Tazama (@tazamambali) 's Twitter Profile Photo

Wakati unaanza biashara usiwategemee jamaa na rafiki. Ukianzisha biashara kwa matarajio ya support ya marafiki, utavunjika moyo. Wengine wanataka bidhaa kwa bei ya upendeleo. Biashara haijengwi kwa huruma, bali kwa thamani. Tengeneza thamani, wateja sahihi watakuja.

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume Akishajua Tu anachokitaka Katika Maisha Yake Automatically Anageuka INTROVERT! 1). Muda Mwingi Anatumia Kukaa Peke Yake—KUFIKIRI 2). Anakuwa na Circle ndogo sana ya Marafiki 3). Anaanza Kutafuta MAARIFA 4). Anajitenga na DRAMA za aina Yoyote