Festo 🇹🇿 (@manfestoisaac) 's Twitter Profile
Festo 🇹🇿

@manfestoisaac

My mom my everyThinG

ID: 1047132174

linkhttps://instagram.com/festoisaac calendar_today30-12-2012 07:30:11

2,2K Tweet

593 Takipçi

262 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo nimezindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la Mwaka 2024). Hatua hii ni utekelezaji wa maelekezo niliyotoa bungeni Aprili 2021, ambapo maboresho haya yamelenga kuiwezesha nchi yetu kuendana na mabadiliko makubwa

Pope Leo XIV (@pontifex) 's Twitter Profile Photo

Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Dodoma, Mei 28, 2025 Mapema leo pamoja na viongozi, wananchi na baadhi ya wanachama katika uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo la Ofisi za Makao Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili muhimu ni hatua nyingine inayoakisi ndoto za waasisi wetu na wananchi kwa ujumla, juu

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dodoma, Mei 30, 2025 Siku ya pili ya mkutano wetu jijini Dodoma ambapo kwa pamoja tumezindua Ilani ya CCM 2025-2030. Ilani hii imeandaliwa kwa weledi mkubwa kwa manufaa ya Taifa letu, ikilenga zaidi katika kuchochea

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Moja ya kiu kubwa ya wananchi kwenye utendaji wa Serikali ni kuona mashirika ya umma yenye kuleta faida badala ya kuchuma serikalini. Miaka michache iliyopita Serikali ilichukua uamuzi wa kuleta mabadiliko kwenye mashirika yetu ya umma ili yaleta matokeo ambayo wananchi

Nimefurahi kushiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo mkoani Mwanza. Utamaduni, mila na desturi njema ni utambulisho wetu kama Taifa na tunao wajibu wa kuendelea kutunza, kudumisha na kurithisha mila na tamaduni zetu kwa vizazi vijavyo ili kuhakikisha uhai, usalama na ustawi wa

Kutoka kuweka kambi ya wapigania Uhuru wa FRELIMO Bagamoyo mkoani Pwani, kisha kuhamia Kongwa mkoani Dodoma na baadaye Nachingwea mkoani Lindi, safari ya Uhuru wa Msumbiji imesheheni historia ya udugu katika hali zote kati yake na Tanzania. Sisi ni ndugu, hivyo uhuru wao ni uhuru