Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile
Samia Suluhu

@suluhusamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID: 2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,1K Tweet

1,8M Takipçi

27 Takip Edilen

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo nimezindua Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la Mwaka 2024). Hatua hii ni utekelezaji wa maelekezo niliyotoa bungeni Aprili 2021, ambapo maboresho haya yamelenga kuiwezesha nchi yetu kuendana na mabadiliko makubwa