
Hazzo gee
@hazzo_gee
Your next tears will be tears of joy @simbasctanzania @chelseafc
ID: 1711787169025556480
10-10-2023 16:54:16
11,11K Tweet
444 Takipรงi
980 Takip Edilen





Rise your voice against Political Injustice in Tanzania. DEUSDEDITH SOKA is illegal detained by Police Force TZ







Nimesoma andiko la Boniface Jacob likifafanua kinaga ubaga kwamba waliomteka ndugu yetu DEUSDEDITH SOKA ni walewale waliomteka SATIVA17 na nimesoma habari ya Mwananchi Newspapers ya Police Force TZ ikikanusha kuhusika na utekaji huo. Maumivu niliyonayo hayaelezeki. Hatupo salama. #freeSoka








