sir Jovan
@denesodilo
hekima,upendo na busara ndio ngao yetu watanzania,
ID: 1598387672795516928
01-12-2022 18:47:07
5,5K Tweet
1,1K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Huyu kijana mdogo ametekwa na kupotezwa Soka alijua na akasema na bado serikali ya Rais Samia Suluhu ikapuuza na leo Soka hayupo. Sio kweli kwamba tutanyamaza kwasababu ya kutekwa na kupotezwa, kelele itazidi kuwa kubwa. Iko siku wote mnaofanya haya mtasema mbele ya Watanzania