
Chibu Danny 🇹🇿
@danielbundala66
Human Rights Activist || Mjumbe wa mkutano mkuu (CHADEMA) Taifa 2025/29 || Parliamentary Candidate for Maswa East Constituency 2020 || Chelsea Fans 💙
ID: 1689949338837872641
11-08-2023 10:38:41
3,3K Tweet
311 Takipçi
89 Takip Edilen













Mzee wa minyama Maulid Kitenge kwenye moja na mbili 😁😁



Mungu akupe pumziko la milele kamanda MC MWINGIRA 😭😭😭😭 Ulikuwa mwimbaji wa nyimbo bora kabisa za mageuzi ndani ya Chama chetu cha Chadema Tanzania hakika tutakukumbuka milele kwa mchango wako kamanda 🙏




