FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile
FRV. Gaspar E. Temba

@itstemba

Mwenyekiti Bavicha Kanda-Kaskazini |MP-Rombo🤲🏾Mkatoliki&Mseminari |Mpiganaji Duniani&Mwandaa Makao mema Mbinguni |Ardhi University X-President | Simba&Arsenal

ID: 3378783178

calendar_today16-07-2015 12:38:27

16,16K Tweet

12,12K Takipçi

1,1K Takip Edilen

FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Mtendaji wa Tume aliyeshiriki Kuiba Uchaguzi wa mwaka 2020, sasa anatumika tena, wakati huu akiwa Jaji wa Mahakama Kuu kuzuiya wanaodai Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi ili Uchaguzi wa 2025 usiibiwe kama ule wa 2020. Hatutarudi Nyuma, tutakwenda na #NoReformsNoElection mpaka

Mtendaji wa Tume aliyeshiriki Kuiba Uchaguzi wa mwaka 2020, sasa anatumika tena, wakati huu akiwa Jaji wa Mahakama Kuu kuzuiya wanaodai Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi ili Uchaguzi wa 2025 usiibiwe kama ule wa 2020.
Hatutarudi Nyuma, tutakwenda na #NoReformsNoElection mpaka
Alphonce Lusako (@lusakoalphonce) 's Twitter Profile Photo

Hakika CHADEMA is the Only Hope" Kw Siasa za Mageuzi ya Kweli Nchini, MAJEMEDARI Wanaotuongoza sasa Wamefuzu Kusimamia Misingi y Haki na Agenda za Wananchi.CHAMA kina Shambuliwa na CCM,Vyombo Vya Dola,Msajili/Vyama,Wasaliti, Vyama [CCM B] na Bado Kinanyoosha Rula. #TUTASHINDA ✌️

FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

We Unapologetically challenged the status Quo. Tukavuruga iliyokua biashara ya demokrasia ndani ya chama chetu, na ndiyo sababu hizi vurugu zote. Sasa Chadema is a serious political party that is trusted and relied upon by Tanzanians’, not to mention feared by those in power.

We Unapologetically challenged the status Quo.

Tukavuruga iliyokua biashara ya demokrasia ndani ya chama chetu, na ndiyo sababu hizi vurugu zote.

Sasa Chadema is a serious political party that is trusted and relied upon by Tanzanians’, not to mention feared by those in power.
FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Mbele Mawakili ; Sheria za Nchi Nyuma Maaskofu na Wachungaji; Sala na Maombi. Not Guilty, sema tu Mahakama iko kwenye minyororo ya Utumwa wa dola.

Mbele Mawakili ; Sheria za Nchi

Nyuma Maaskofu na Wachungaji; Sala na Maombi.

Not Guilty, sema tu Mahakama iko kwenye minyororo ya Utumwa wa dola.
FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Doing the same thing Over and Over again expecting different result is INSANITY. Tuunganishe Nguvu, Tubadilishe Mbinu! Ni hivi, Watanzania wanataka Mabadiliko ya Sheria na Mfumo wa Uchaguzi kwanza ndo twende kwmeye Uchaguzi. Makanisa na Maaskofu wanaunga Mkono Mabadiliko ya

Doing the same thing Over and Over again expecting different result is INSANITY.

Tuunganishe Nguvu, Tubadilishe Mbinu!

Ni hivi, Watanzania wanataka Mabadiliko ya Sheria na Mfumo wa Uchaguzi kwanza ndo twende kwmeye Uchaguzi.

Makanisa na Maaskofu wanaunga Mkono Mabadiliko ya
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

UKIHISI MASHAKA YA KUFUATILIWA (TAILGATING) FANYA MAMBO HAYA..! Elimu muhimu ya kujihami kwa wanaharakati,wanasiasa,wakosoaji wa serikali na wafanyabiashara, soma ufahamu haya. Ukihisi upo hatarini unafuatiliwa na watu usiowajua au ukiwa umepata taarifa kuna watu wanakufuatilia

UKIHISI MASHAKA YA KUFUATILIWA (TAILGATING) FANYA MAMBO HAYA..!

Elimu muhimu ya kujihami kwa wanaharakati,wanasiasa,wakosoaji wa serikali na wafanyabiashara, soma ufahamu haya.

Ukihisi upo hatarini unafuatiliwa na watu usiowajua au ukiwa umepata taarifa kuna watu wanakufuatilia
FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Kwa wiki nzima nimekua nyumbani Rombo kwa Msiba, nikapata fursa ya kuzungumza na watu wengi sana. Kila mtu na kilio chake!! CCM na Serikali yake ikko very very unpopular huku ground (than i even thought) Tukipata Reforms tutapata fursa ya kubadilisha uongozi wa nchi yetu once and

FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Tumsifu Yesu Kristo. Kesho katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi itafanyika Ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha birthday yake ya 105. Videoni baba Lui anaonekana imara

Rev. Fr. Petros Mwale (@fr_petros) 's Twitter Profile Photo

Fr. Lui Shayo, 106 years of age, of Moshi Diocese in Tanzania yesterday celebrated his Diamond Jubilee, marking 75 years of priesthood. He was ordained as a priest on June 25th, 1950. Congratulations dear father 🎉

Fr. Lui Shayo, 106 years of age, of Moshi Diocese in Tanzania yesterday celebrated his Diamond Jubilee, marking 75 years of priesthood. He was ordained as a priest on June 25th, 1950. Congratulations dear father 🎉
FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Mambo yale yale ya Carl Peters na Chief Mangungo wa Msowero. Mkoloni mweusi anawapa watu Baiskeli ili kupata kibali cha kuuza Nchi, kuuza bandari, mbuga na miradi mbali mbali ya serikali.

Mambo yale yale ya Carl Peters na Chief Mangungo wa Msowero.
Mkoloni mweusi anawapa watu Baiskeli ili kupata kibali cha kuuza Nchi, kuuza bandari, mbuga na miradi mbali mbali ya serikali.
FRV. Gaspar E. Temba (@itstemba) 's Twitter Profile Photo

Tuseme Chadema Tanzania inaingia kwenye Uchaguzi na Joseph Mbilinyi ndiye Mgombea wetu hapo Mbeya Mjini (kwa sababu Makubaliano ilikua n kupambana anapopataka Tulia). Je kww maelekezo hayo toka kwa Rais na Mkuu wa Nchi hata Sugu ashinde atatangazwa?? Jibu ni HAPANA. Hivyo, Naamini

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

… Nanghejwa Kaboyoka (75) ACT, Anne Kilango (70) CCM Mimi niko kwenye 30s – kizazi cha leo chenye NGUVU na MAONO Wakifanya reforms na CDM tukishiriki UCHAGUZI, wanajua wananchi wa Same Mashariki wataamuaje Mazingira ya NJE ni giza, lakini IMANI yangu ndani ina mwisho MZURI.

… Nanghejwa Kaboyoka (75) ACT, Anne  Kilango (70) CCM

Mimi niko kwenye 30s – kizazi cha leo chenye NGUVU na MAONO

Wakifanya reforms na CDM tukishiriki UCHAGUZI, wanajua wananchi wa Same Mashariki wataamuaje

Mazingira ya NJE ni giza, lakini IMANI yangu ndani ina mwisho MZURI.