Hamza Isherubiri (@isherubiri) 's Twitter Profile
Hamza Isherubiri

@isherubiri

ID: 1528404230113042432

calendar_today22-05-2022 15:55:54

2,2K Tweet

278 Takipçi

283 Takip Edilen

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Taarifa hii ya MagerezaTanzania inanipa shaka jinsi jeshi hilo linavyoishi na mahabusu Tundu Antiphas Lissu kwenye maeneo ya haki zake na usalama wake kwa sasa Taarifa inambrand Lissu kama mahabusu mkaidi aliyelazimika kusukumwa na askari wake Dunia haijaona ukaidi wa Lissu bali kusukumwa

Taarifa hii ya MagerezaTanzania inanipa shaka jinsi jeshi hilo linavyoishi na mahabusu Tundu Antiphas Lissu kwenye maeneo ya haki zake na usalama wake kwa sasa

Taarifa inambrand Lissu kama mahabusu mkaidi aliyelazimika kusukumwa na askari wake

Dunia haijaona ukaidi wa Lissu bali kusukumwa
Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya Udhibiti wa Hesabu za Serikali 2023/24 ilionesha wazi kwamba serikali imefanya uwekezaji wa Tsh. Bilioni 161.53 ambao hauzalishi faida, pia imefanya matumizi yasiyo na tija na yasiyo halali ya Tsh. Bilioni 378.17. Kuna mawaziri hawakupaswa kuwa uraiani hivi sasa.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Very wrong move umechukua. Nina uhakika utajuta muda si mrefu kwamba hukutulia na kutafakari hitaji la umma. Hakuna kitu kinadanganya kama kupigiwa makofi, mtu yoyote unapaswa kuwa makini sana wakati unapigiwa makofi. Umezuiwa kuendelea vizuri kimkakati, na uhakika huu mpango

Very wrong move umechukua. Nina uhakika utajuta muda si mrefu kwamba hukutulia na kutafakari hitaji la umma. Hakuna kitu kinadanganya kama kupigiwa makofi, mtu yoyote unapaswa kuwa makini sana wakati unapigiwa makofi. Umezuiwa kuendelea vizuri kimkakati, na uhakika huu mpango
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) UKICHUKIA USIFANYE HAYA👇 1. Kumpiga anayetamani kupigwa! 2. Kumpiga teke chura! 3.kumchukia aliyechukia! 4. Kumchafua aliyechafuka! 5.Kumtisha Mwalimu wa vitisho! 6. Kumfukuza aliyejifukuza! 7. Kuchanganya uzalendo na usaliti! 8. Kugombana

Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD)

UKICHUKIA USIFANYE HAYA👇

1. Kumpiga anayetamani kupigwa!
2. Kumpiga teke chura!
3.kumchukia aliyechukia!
4. Kumchafua aliyechafuka!
5.Kumtisha Mwalimu wa vitisho!
6. Kumfukuza aliyejifukuza!
7. Kuchanganya uzalendo na usaliti!
8. Kugombana
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa katika nchi inayoongozwa kwa misingi ya sheria na haki za binadamu akitekeleza majukumu yake ya kila siku. Unajiuliza, serikali arrogant kiasi hiki itashindwa kupakazia watu kesi, kuteka, kupoteza, na hata kuua??🤔 #MaelekezoYaMama

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 9 Anaendele Mhe. Lissu Kifungu cha 263(3)(5) kinanipa haki ya kusema na nitakayosema yote uyaandike na uyasome kwangu ni muhimu kwasababu kwa kesi kama hii kubwa kuliko zote Tanzania. Ambayo adhabu yake ni adhabu ya kifo kwa kesi ya aina hii,

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Namba ya kumtumia Hilda Newton asante zetu ni Airtel Money 0684775121 Jina Hilda Newton Target ni sh 1,000,000/= for a start. #Jasusi anatumaini kupata wadau 9 wa ku-match 100,000 aliyotuma. Guys, let's do this!

Namba ya kumtumia Hilda Newton asante zetu ni Airtel Money 0684775121
Jina Hilda Newton

Target ni sh 1,000,000/= for a start. #Jasusi anatumaini kupata wadau 9 wa ku-match 100,000 aliyotuma. Guys, let's do this!
Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Mwisho kabisa ikitokea wakataka achaguliwe mtu wa mifumo huru wa kwenda kukagua aisee mnipendekeze dakika mbili tu nishawamaliza kabisa mapema mnoooo. Naomba u retweet ili kuwafanya wengine ambao hawajui mambo haya wajifunze na wajue vitu hivi vipo na ni vya kitaalamu zaiidi.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_WA_MALI_ZA_CHADEMA Part 1 Leo Tar. 28/08/2025 yanakuja Mahakama kuu mbele ya Judge Hamidu Mwanga: Maombi namba 8323/2025. (Almaarufu kama kesi ya mgawanyo wa mali za Chama) Kesi hii imefunguliwa na waliokuwa wanachama wa CHADEMA kutoka Zanzibar, I

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Sauti ya Tundu Lissu kudai haki ni sauti ya mamilioni walio kimya kwa hofu, na sasa tunasimama pamoja naye tukisema #IamTunduLissu.

Rose Moshi Makei (@rosemakei) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni Mpigania HAKI na mwana DEMOKRASIA wa KWELI Mwenyekiti wangu Mh Tundu Antiphas Lissu Katika utawala wa CLUB Magufuli KESI 5 kati ya 6 nilikudhamini na hata sasa nitakudhamini tena #IamTunduLissu #IamTunduLissu #IamTunduLissu #FreeTunduLissuNow #NoJusticeNoPeace #StrongerTogether

Wewe ni Mpigania HAKI na mwana DEMOKRASIA wa KWELI  Mwenyekiti wangu
Mh Tundu Antiphas Lissu
Katika utawala wa CLUB Magufuli KESI 5 kati ya 6 nilikudhamini na hata sasa nitakudhamini tena
#IamTunduLissu
#IamTunduLissu
#IamTunduLissu
#FreeTunduLissuNow
#NoJusticeNoPeace
#StrongerTogether